Recent content by JamiiForums

  1. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania watembelea ofisi za JamiiAfrica jijini Dar

    Leo, Agosti 05, 2026, Ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania umetembelea ofisi za JamiiAfrica jijini Dar katika ziara ya kikazi na kuimarisha mashirikiano. Ujumbe wa Ubalozi huo uliongozwa na Kaimu Balozi, Maximilian Müller.
  2. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania watembelea ofisi za JamiiAfrica, jijini Dar

    Leo, Agosti 04, 2026, Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania umetembelea ofisi za JamiiAfrica jijini Dar katika ziara ya kikazi na kuimarisha mashirikiano. Denmark imekuwa mmoja wa wadau wa maendeleo wa karibu kwa JamiiAfrica kwa zaidi ya miaka 8 katika nyanja mbalimbali. Ujumbe wa Ubalozi...
  3. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Sweden, Charlotta Ozaki Macias afika JamiiAfrica kuaga Rasmi

    Leo, Julai 22, 2026, JamiiAfrica imetembelewa na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Charlotta Ozaki Macias kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini. Balozi Charlotta alianza rasmi majukumu yake nchini Tanzania Agosti 2022.
  4. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Umoja wa Ulaya Christine Grau afika JamiiAfrica kuaga rasmi

    Julai 17, 2026, JamiiAfrica ilitembelewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini. Balozi Christine alianza rasmi majukumu yake nchini Tanzania, 1 September 2023.
  5. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  6. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Salamu za Shukrani kwa Wanachama wa JamiiForums

    Kufuatia zuio lililotolewa Septemba 6, 2025 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa siku 90, member wa JF, Mshana Jr alianzisha uzi...
  7. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
  8. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Uvamizi uliofanywa ofisi za JamiiForums haujaathiri Shughuli, Miundombinu na wafanyakazi

    Napenda kuwajulisha kuwa hali iliyotokea katika ofisi zetu mchana wa leo imesharipotiwa, na mamlaka husika zinachukua hatua stahiki. Nitaendelea kuwataarifu kwa hatua zitakazofuata. Hali hii haijaathiri shughuli zetu, miundombinu, wafanyakazi wala mali za taasisi. Nawashukuru wadau wote...
  9. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Je, Tunazifahamu Vyema Nchi za Kinordic?

    Nchi za Kinordic; Sweden, Norway, Denmark, Finland na Iceland zinajulikana sana miongoni mwa Watanzania kwa sifa chache mashuhuri—kama vile maisha bora ya wananchi wao, elimu ya bure, kiwango kidogo cha rushwa, usawa wa kijinsia na viwango vya juu vya furaha. Lakini je, tunafahamu zaidi ya...
  10. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mgeni rasmi Siku ya Pili ya Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani, Aprili 29, 2025

    Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025) yanaendelea Jijini Arusha ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi, leo Aprili 29 kwenye Hoteli ya Gran Melia Matukio ya siku ya kwanza, soma World Press Freedom Day 2025, April 28, 2025...
  11. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Siku ya 1: Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025), Aprili 28, 2025

    Baadhi ya wageni Msanii Vitalisi Maembe akitoa burudani Leo Aprili 28, 2025 ni siku ya pili ya Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025) ambapo shughuli zinafanyika kwenye Hoteli ya Gran Melia - Arusha, ambapo maadhimisho hayo yatarajiwa kufanyika kwa kwa...
  12. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari: Matukio katika picha ya washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run)

    Picha zikionesha matukio tofauti ya Washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run) za Kilometa Tano zilizofanyika leo Aprili 27, 2025 ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ambayo yanafanyika kwa siku tatu Jijini Arusha Mbio hizo zilizoshirikisha Wadau mbalimbali...
  13. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Uzinduzi wa JamiiAfrica pamoja na Mpango Mkakati wake

    Kwa siku za hivi karibuni huenda, kupitia mitandao yetu ya kijamii umeona mwonekano wetu mpya kuanzia kwenye logo mpaka grafiki na ukapata maswali mengi kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye taasisi yetu. Habari njema ni kwamba sasa taasisi yetu imekua zaidi, na ili kuendana na kasi yetu na ya...
Back
Top Bottom