Much well said, the guy has to go back and clean his house, once on that position you own all the shit regardless of who did and when it was done! And that's a CEO position!
Kweli Hawa waheshimiwa WOTE wameishiwa Hoja sasa NA Masuala NA Maswali ya msingi hayajiibiwi. Natumaini WENYE Mamlaka wamesoma hizi threads NA vyombo vyao inabidi vitafute ukweli NA kuufanyia Kazi.
So much interest here, and what about Arusha where we've lost more than 20 people, who has to go there? Au ni Mapenzi ya Mungu?! Tuache Sheria ichukue Mkondo wake NA watu wa kuwajibika watawajibika tu!
Ogah, Shirika alilojiuzulu Mwakyembe was NBC, Na alikuwa ni mjumbe wa Bodi na alikuwa bado anaemdelea kufundisha chuo kikuu kwa kuwa Ujumbe wa bodi sio kazi ya kudumu bali vikao. Kwahiyo sikweli kwamba alirejea kufundisha wakati bado alikuwa anafundisha.
Tunataka muangalie mfumo na sio mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.