Jaman wangwana kuna ndg yake dada Rahma ambaye ni mfadhili wa Simba anamtafuta sana hivyo baada ya kumwambia wana JF wana mtandao mkubwa tunaweza kuipata Adress yake akafurahi sana. Najua si vyema kuiweka namba ya mtu bila ridhaa yake ila naomba mwenye contact yake, au email ani PM pls.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.