Recent content by JAMII BORA

  1. J

    JamiiForums Tanzania Namna 5 sahihi tunazotumia kupunguza gharama za ujenzi hadi 40%

    Nianze kwa kushukuru wadau humu JF kwa mchango wao wa mawazo hadi makala hii kukamilika. Kwanza kabisa kabla hujafikiria kupunguza gharama za ujenzi unatakiwa kufahamu gharama halisi za ujenzi, Wengi wa wateja tulokutana nao, walikuwa na tatizo linalofanana, nalo ni kwamba huwa wanataka...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wale wanaopenda kuzalishiwa bidhaa, wao waibrand na kuingiza sokoni karibuni

    Sabuni ikiwekwa papai au milk inaondoa ukavu wa ngozi. Kinyume chake, ukiweka limao ,unaondoa mafuta ya ngozi. Fomula ni ile ile kwa sabuni zote lazima upate mafuta ya mbegu mfano mise, au mafuta ya wanyama, upate caustic soda , sodium silicate na kiambatanishi utakacho kama ni papai, aloevera n.k
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wale wanaopenda kuzalishiwa bidhaa, wao waibrand na kuingiza sokoni karibuni

    Amani kwa wana JF woote Wabunifu Group kwa zaidi ya miaka mitano tumekuwa tukibuni bidhaa mbali mbali za kutatua matatizo tofauti ya jamii ikiwemo sabuni za miche, bleach za nguo nyeupe, sabuni za magonjwa ya ngozi, mafuta ya kupaka, Sabuni za kusafisha choo, sabuni za kusafisha tiles na vioo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Faida 4 Za Kugeuza Bidhaa Au Huduma Unayotoa Kuwa Kampuni Ndogo Na Hatua Rahisi Za Kusajili Kampuni

    Si tangazo .hii ni elimu bure, nimeandika jukwaa hili makala nyingi ,fuatilia. Kuongezeka maombi , ndo kunapelekea tuongeze uangalizi wa karibu kwa wahitaji.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Faida 4 Za Kugeuza Bidhaa Au Huduma Unayotoa Kuwa Kampuni Ndogo Na Hatua Rahisi Za Kusajili Kampuni

    Business Digitalization Solution tumekuwa kwa zaidi ya miaka minne tukiwasaidia wajasiriamali wadogo kukua, yaani kutoka hatua ya mjasiriamali mmoja hadi kuwa kampuni ndogo inayotambulika. Kwa kawaida, kama mtaji wako ni kati ya milioni moja mpaka milioni kumi, basi unakuwa na sifa za kuitwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Unaitafuta Riwaya yoyote ya Legendari wa Kiswahili? Usijali...

    tutakisaka
  7. J

    JamiiForums Tanzania Unaitafuta Riwaya yoyote ya Legendari wa Kiswahili? Usijali...

    tutakisaka
  8. J

    JamiiForums Tanzania Unaitafuta Riwaya yoyote ya Legendari wa Kiswahili? Usijali...

    Karibu Mkhande
  9. J

    JamiiForums Tanzania Unaitafuta Riwaya yoyote ya Legendari wa Kiswahili? Usijali...

    Tunu zetu Library tumekuwa kwa muda mrefu tukizienzi na kuboresha kazi za wakongwe wa fasihi ya kiswahili kwa manufaa ya kizazi kijacho. Baaada ya kuona maktaba nyingi hazina vitabu hivi, Tumeingia chimbo kuvisaka, kuvipitia na kuviweka mfumo wa nakala rahisi (softcopy) unayoweza kuipata kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Laptop za laki 2 na nusu zimewasili

    HP probook 6555 (Roho ya paka) zimeabki chache. Zina 160gb kwa 2 GB ram, phone wifi support, 3 hours battery. Bei ya wiki hii ni tzs 295,000 . Piga 0713039875 kuwahi ofa hii. Tuko china plaza,kariakoo .Pia Tunafanya home delivery na kutuma mikoani. Desktop hdd 160, ram 2gb, monitor 17' ,free...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Welding machine na grinder machine za Bei nafuu zinahitajika

    Tuna grinder mashine :tucheki kwa 0713039875
  12. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaweza kuendelea kujenga Uchumi wa kati in the Mid of COVID19

    Mkuu una kipaji cha uchambuzi na kuandika
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Msambazaji (Dealer) wa Sabuni Za Kipande Na Sukari

    Habari wakuu. Nimeanzisha biashara ya kuuza sabuni na sukari kwa kusambaza majumbani kwa zaidi ya nusu mwaka.Sasa kwa naona mahitaji yameongezeka mno, hivyo natafuta supplier (Dealer) mwenye uwezo wa kuniuzia Sabuni za kipande na sukari kiasi cha box kumi au zaidi kwa sabuni na katoni kumi au...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Vifaa Vya stationery vinauzwa bei nafuu mno

    min laptop
Back
Top Bottom