Recent content by Jamestanzania

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tiles

    Wadau kwa msaada wa picha, tiles gani niweke Sebuleni, jikoni, dining,chumbani na chooni? Natanguliza shukrani!🙏🏿
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wapi wanatengeneza viti vya kwenye Hiace kutoka Japan zinazokuja bila viti?

    Za saizi wadau. Hivi hizi hiace commuter zinazo toka japan bila viti ni wapi watu wanatengeneza hivi viti hapa TZ au kuna sehemu za kununua already made kwa ajili ya Hiace commuter?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Fundi tilea

    Natafuta fundi tiles mzuri mwenye kazi safi. Asante
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mninga

    Nashukuru sana. Uko mkoa gani?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mninga

    Dah! Hizi gharama si mchezo nashukuru mkuu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mninga

    Sawa sawa boss. Nalipia kwa mzigo au kila item moja moja.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mninga

    Je unaweza nipa idea, kila mlango na dirisha linaweza gharimu kiasi gani mkuu? Umenitisha.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mninga

    Nashukuru. Natakiwa kulipia hichi kibali?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mninga

    Au una maanisha wakala wa misitu?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mninga

  11. J

    JamiiForums Tanzania Mninga

    Sio magendo.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mninga

    Nasikia kuna ka process kakusafirisha, sina uhakika.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mninga

    Kuna yeyote humu alie na experience na kusafirisha milango na madirisha ya mninga kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine? Je process ziko vipi na gharama zikoje?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Milango na Madirisha

    Mkuu nakushukuru sana kwa ushauri wako. Utapeli ndio ninao ukimbia. Nimatumaini yangu nitapata msaada hapa kwenye hii forum.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Milango na Madirisha

    Asante sana. Niko Moshi Kilimanjaro mkuu.
Back
Top Bottom