Recent content by jamesmchome

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Ajabu: Nimewaona Wafanyabiashara wa Tanzania wamekuja Kampala kununua Bidhaa za China

    TRA tusiwaangushie jumba bovu wanakusanya kodi kwamujibu wa sheria zilizopitishwa na bunge sioni sababu ya kuwalaumu tuwaache wafanye kazi yao.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TRA yatoa orodha ya Mawakala wa Forodha 384 wanaosafirisha mizigo kwenda nchi jirani kujieleza kwa hujuma. Wapewa siku 7

    Kwa mizigo midogo kama container moja na gari moja au mawili inawezekana kutoa bila kupitia kwa agent kwasabu ulipiwa ushuru kabla ya kutoka bandarini kumbuka kuna bulk cargo , equipment kama vifaa vya kutengeneza barabara au mirandi mikubwa ni ngumusana mwenye mzigo kutoa mwenyewe pia kuna...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TRA yatoa orodha ya Mawakala wa Forodha 384 wanaosafirisha mizigo kwenda nchi jirani kujieleza kwa hujuma. Wapewa siku 7

    Mpuuze yuko hapa kupotosha watu Zambia wanatumia mitumba kama kawaida.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TRA yatoa orodha ya Mawakala wa Forodha 384 wanaosafirisha mizigo kwenda nchi jirani kujieleza kwa hujuma. Wapewa siku 7

    Acha kupotosha hizo bahasha ni movement sheet zinatolewa na TRA kila mzigo wa Transit za kuonyesha kwenye check point za TRA kuanzaia misugusugu mpaka makambako baada ya makambako dereva anatakiwa kumpatia agent bila kuifungua T1 mambo ya bond msipende kupotosha watu hao madereva waliokupa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga: Kama mpangaji hayupo kwa muda mrefu asilazimishwe kulipia huduma ambazo hajazitumia

    Nyumba za kumpanga zina uswahili mwingi sana kwenye mambo ya umeme kama mnatumia mita moja kuna watu wengine wanatumia majiko ya umeme na hita wao ndio wakwanza kuchangisha umeme ukiisha
  6. J

    JamiiForums Tanzania Fastjet PLC inatarajia kuuza hisa zake katika shirika la Fastjet Tanzania

    Nawapenda Fast jet nimepanda mala tano kutoka dar Johannesburg kwa garama ndogo sana 350,000 Tsh wakati SouthAfrican airline na mashirika mengine bei zao ziko juu sana Ethiopia pia bei zao sio mbaya sana tatizo awana ndege ya Dar Johannesburg mpaka uende Ethiopia ulale ADbaba kesho yake...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi 9 zinazoongoza kwa kufanya mapenzi duniani

    Kwenye Top 5 Johannesburg haiwezi kukosa bondeni noma watu wanakulana utafikiri wanatumia umeme
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mashine gani ya kufulia nguo iliyoimara

    Panasonic ni the best hata ukipata ya mtumba kutoka Japan utadumu nayo zaidi ya miaka 10
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kitendo alichofanyiwa Amber Rutty si kizuri. Watetezi wa Haki za Binadamu mko wapi?

    Sawa wote wako ndani ila makosa tofauti
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kitendo alichofanyiwa Amber Rutty si kizuri. Watetezi wa Haki za Binadamu mko wapi?

    Mwenzake kashitakiwa kwa kosa la kusambaza picha mtandao kiukweli sijaelewa kwanini kashitakiwa pepeke yake au mwenzake aonekani vizuri kwenye picha wamashindwa kumtambua?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyeko mahabusu na Amber Ruty ni wa wapi?

    Kwani mashoga wanawekwa mahabusu gani zakike au zakiume au zisizofungamana upande wowote?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna gari ya milioni 1 kweli au jamaa tapeli?

    Wabaongo kwakupenda kitonga ndio maana mnapigwa kwanini usijulize swali showroom za magari used Japan bei zake kuanzia 10m kwendelea unafikiri gari la 1.2 litakua gari au mazonge kila siku kucha kwamafundi gereji
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mini laptop

    Ulipata lap top?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa dharula

    Simu umenunua wapi hapa Tanzania au nje ya Tanzania?
Back
Top Bottom