Recent content by jamesfrom255

  1. jamesfrom255

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

    Mi naamini Mwakyembe anaweza kuwa sahihi kwamba jamaa alishastaafu lakini aliendelea kula shavu airport, hawezi kuwa amekurupuka tu. Lazima Mwakyembe atakuwa ana orodha ya wafanyakazi wa airport ambapo alimuona huyu jamaa. Kwa upande wa Kamani inabidi na yeye aulizwe kama mtu alistaafu...
  2. jamesfrom255

    JamiiForums Tanzania Mganga wa jadi ala kichapo baada ya kuwachanganyia dawa wateja wake

    Nachoshindwa kushangaa ni nini hicho alichokifurahia huyo mke?
  3. jamesfrom255

    JamiiForums Tanzania Mjamzito afariki dunia kutokana na foleni leo hii Dar-es-Salaam

    Hawa viongozi wetu ni mizigo kama hiyo mizigo ya cement kwenye hilo gari lililoharibika. Hakuna msaada wowote, poleni sana ndugu jamaa na marafiki wa mjamzito huyo, Mungu ailaze roho yake na kiumbe hicho mahala pema peponi, na huyo mtoto angezaliwa naona angekuja kuwa waziri wa miundo mbinu.
  4. jamesfrom255

    JamiiForums Tanzania Madawa ya kulevya: Mtanzania afia Dubai, wengine wadaiwa kukamatwa China na Brazil

    Huu sasa ni udhalilishaji wa nchi yetu na hata watu wasafi watakuwa wanakaguliwa sasa kana kwamba ni walewale wasafirishaji. Hebu acheni hizo, hata kama ni pesa jaribuni kufikiria ishu nyingine ya kufanya kupata pesa wandugu.
Back
Top Bottom