Recent content by James St. Patrick

  1. J

    Kwanini Makanisa ya Katoliki huwa na maeneo makubwa ya ardhi?

    HATA SAUT MWANZA ILIKUA PORINI KABISA, WANA FOCUS YA MBELE SANA HATA MIAKA 50 HUKO, NA NYARAKA WANATUNZA SANA
  2. J

    Mwigulu Nchemba: Wahitimu vyuo vikuu rudisheni mikopo

    hapo wanahaha, maaana waliowengi wamemaliza mikopo mwaka jana na mwaka huu, ajira za idadi ya watu wengi wamemaliza hawana cha kukusanya tena
  3. J

    Bila kuvunja ukimya, UKIMWI utalimaliza Taifa

    hata mie hua nawaza hivyo, ARVs ndio tatizo lenyewe
  4. J

    Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

    UKITAKA KUJUA HILI, FUATILIA WALIMU WAKIENDA KUSIMAMIA MITIHANI. KUANZIA DARASA LA NNE, DARASA LA SABA, FORM TWO, FORM FOUR NA FORM SIX. HUWEZI AMINI YANAYOTOKEA HUKO. TUVUMILIANE TU NDIO MAISHA TULIYOCHAGUA HAYO.
  5. J

    Hakuna sehemu yenye Majungu, unafiki kama Maofisini

    very true, kuna mnyakyusa mmoja huko lindi ni shida na nusu
  6. J

    Hakuna sehemu yenye Majungu, unafiki kama Maofisini

    Hizi mtu ni hatari, sijawahi kujua shida ni nini, tena bora shule za mjini, za huko porini ndio tatizo
  7. J

    Umetumia Smart kitochi?

    natumia youpin qin, iko poa sana. kuna mtu kaipenda nataka nitafute youpin qin f21s
  8. J

    Kwanini Samsung wameanza kukomaa na processor za Mediatek?

    inauzwa tshs 391,000 AliExpress, 5G huku bado sana kwa sasa, mbaya zaidi redmi note 10 ina bei zaidi ya hii
  9. J

    Kwanini Samsung wameanza kukomaa na processor za Mediatek?

    unazungumziaje redmi note 10 5G, naona ina dimensity 700, na nilihofia sana maana leo AE inauzwa 391
  10. J

    Computer4Sale HP Intel core i7 inauzwa

    naomba model namba, nitakua mwanza next week
  11. J

    Leo naleta mrejesho kwa huyu msichana wa kilokole

    unafeli, nilishawahi kua na mtu wa hivyo, hua malaya wa chinichini, siku ukijua utapata heart attack. samahani kwa maneno makali.
Back
Top Bottom