Recent content by James Rutasitara

  1. J

    Zitto: Tutazungumza na waandishi kuweka wazi mpango wa Serikali na Bunge kuzuia Bunge kujadili taarifa ya ukaguzi maalumu wa trilioni 1.5

    Hi nchi ina vijana wajinga sana, uwezo wao wa kutetea hoja au kuipinga hoja uko chini sana na hii itatuchelewsha sana kufika tunapotaka
  2. J

    Mategemeo ya treasury bills auction kesho: Korosho ina mengi nyuma yake

    Tumeskia maamuzi ya serikali ya kununua korosho Kutoka kwa wakulima kwa Tzs 3,300.00 na uongozi wa Tanzania Agricultural Development Bank umeagizwa kulipa pesa hizo mara moja. Binafsi nimekuwa na shaka kubwa sa juu ya uwezo wa hii bank ambayo mtaji wake ni karibia mara 10 ya pesa walioagizwa...
  3. J

    Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta

    ushirikiano wa haya mambo upo tena sana across the world, nikukumbushe kwamba hata Nyerere alishawahi kuwaleta hawa watu, kumbuka issue ya kuungua kwa central bank.
  4. J

    Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta

    Msemakweli asiyejua ukweli wa kimantiki. unategemea kweli jeshi la polisi? vipolo vingapi wanavyo hadi sasa? Tundu lisu walisema wamachunguza had sasa miaka mingapi hadi kesi wameshindwa kufungua, azory imefikia wapi? ben imefikia wapi na wana majibu gani? Kikubwa ni kwamba wote tunaishi humu...
  5. J

    Ushindi wetu mkubwa kupita zote ni Katiba Mpya

    Habari za asubuhi ndugu wapenda haki. Nimekuwa nikifuatilia taarifa na matukio mbali mbali yanayoendelea hapa nchini kwa muda mrefu sana, ni dhahiri shahiri kuwa tuna kila sababu ya kuungana na kuongea lugha moja kama taifa, matatizo yote yanayoendelea ukiyaangalia kwa jicho la karibu kiini...
  6. J

    E-tax banking issues: Mwenye kusoma na aelewe

    Hi Good People. Nimeoona ni vyema nikuhusishe kwenye hili jambo ili nijue kama unaweza kwa nafasi yako kufanya uchunguzi na kuondoa doubt ya haya ninayotaka kuyaongea ili na wewe uliwasilishe hili bungeni kwa lengo la kutaka kupima utashi wa serikali katika kuinua au kuua taasisi za kifedha...
  7. J

    Inawezekana Rais hashauriki au hafikishiwi ushauri; Bombadia moja "imekufa" Mwanza, ATCL inajigamba kuleta Dreamliner

    Majibu ya kishujaa haya ila moyoni maumivu matupu. Ukweli upo na unajulikana na ipo siku wala si mbali mtayaona na kuyashuhudia yale yote mliyoyadhania kuwa sahihi kumbe????
  8. J

    Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

    Mbona unatapika, tulia sindano iingie,simuwatumie polisi?
  9. J

    Hongera sana Pius Msekwa-una kila sababu ya kupongezwa na kuenziwa

    KINACHOONGELEWA NI MUSTAKABALI WA TAIFA WENYE DRESS YA UTAIFA NA SI CHAMA. TATIZO LENU MME LEWA USIASASIASAHADI MNASHINDWA KUTAMBUA LIPI NI KWA MANUFAA YA CHAMA NA LIPI NI KWA MANUFAA YA TAIFA. UKIPATA KIONGOZI MBAYA MIAKA 7X2 NI MINGI SANA. TUTANGULIZE UTAIFA WA KWELI.
  10. J

    Hongera sana Pius Msekwa-una kila sababu ya kupongezwa na kuenziwa

    Nawasalimu wana bodi, Nianze kwa kusema, tatizo kubwa la hii dunia sio tu watu waovu bali ni watu wenye uelewa wa mambo wanapokaa kimya. Nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania kwa karibu sana, nimekuwa nikipata mashaka makubwa sana juu ya hatima ya hii nchi ambayo inaonekana kuwa mashakani...
  11. J

    Unakwenda mwezi na nusu sasa, CHADEMA hawataki kumtoa dereva

    poor brain, stupid mind, weak and awful thoughts. Puppet at work
Back
Top Bottom