Recent content by James ribent

  1. James ribent

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Ndugu,shukrani Sana kwa Uzi wako,nikitoka bongo sikumoja ntakutumia hata ela ya soda
  2. James ribent

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Yani hao wezi wameshakuwa wengi mno humu,mtu anajifanya wakala wa ughaibuni wakati Hana sifa hata moja ya kuwa wakala,Wala hajui nauli ,Wala chochote,ila hapa wapenda vyepesi lazima watapigwa tu.
  3. James ribent

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Nimepata M5 hapa,si nadhani naweza ingia Marekani au Canada bila kipingamizi,na kwamda wowote,au inakuwaje?
  4. James ribent

    Green card lottery ni Umanamba mamboleo

    Ndugu,Kila mmoja aliumbwa na akili yake timamu,Kila mmoja Ana haki ya kuchagua,Kama wewe ulivyochagua kuishi bongo,ndoivyo wengine wanachagua kuishi ulaya,kwaiyo usifikirie kwamba itatokeaga hata siku moja tukafanana akili,na Kama wewe ulivyo ambavyo haukubali kuenda ulaya kuishi,ndoivyo na...
  5. James ribent

    Nchi gani nje ya Afrika ni rahisi kwa kijana mpambanaji kufanikiwa?

    Waulize Google,Kama unandoto ya kwenda ulaya.majibu yote na zaidi yamejaa hapo
  6. James ribent

    Msaada jinsi ya kupata barua ya mwaliko Canada na Ulaya

    Fuata utalatibu tu,izo barua za michongo hata bongo Zipo ila mwisho wake ni kukufilisi ivyo viela ulivyojichanga na mwishowe kuludi bongo
  7. James ribent

    Nina ndoto ya kuwa tajiri wa dunia kutokea Afrika mpaka kufikia 2045

    In Inawezekana ndugu unachofikilia kwa sababu tu uko hai.jibu lako la hayo mpka uwe nchi tajili ambayo Ina tajili wa dunia.waulize Google alafu nenda
  8. James ribent

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Mimi Hizo kazi nazijua,ila naelewa ilivyo ngumu kupata kazi ukiwa africa.mimi nachoomba kwako ni barua ya mualiko tu na msaada wa kuniifadhi ntapofika,na ntakulipa hata Mara 2,je waweza nisaidia?
  9. James ribent

    Green card lottery ni Umanamba mamboleo

    Ndugu nakuunga mkono Sana,huyu jamaa ni mjinga Kabisa,anasema waafrika walio USA wanatseka kujifaidisha USA,kwani wabongo hawateseki kujifaidisha bongo na viongozi wake?,anasema Mara hawapati kitu,je bongo wangapi wanafanya kazi siku 7 myaka,ila ukimwambia nisaidie laki Hana?,pia alivyo mshamba...
  10. James ribent

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Uko wapi saivi ndugu,upo Germany?Kama upo uko na bado haujabadilika Sana nisaidie barua ya mualiko tu,alafu visa na tiketi nijuu yangu,alafu unisaidie kuniifadhi wiki tu,na nkifanikisha ntakulipa gharama hata Mara mbili ya utazotumia ,maana napata kazi nyingi uko,ila naambiwa niende kwenye...
  11. James ribent

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kama unawazia kuingia uko kwa njia hiyo,ni lazima utafia bongo.andaa kwanzia M2 ya bongo hapo ni Dubai,au M5 kwa ulaya,Napo upate mtu uko,au M10 uende ukiwa umekamilika bila changamoto
  12. James ribent

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Ila upo vizuri katika kukatisha tamaa,kwani elimu ya bongo ni sawa naya ulaya,alafu ni kweli wanaangaika elimu kuzidi ujuzi,kwaiyo ukiwa na vyeti unapata kazi haraka bila ujuzi wowote,harafu kwamba bongo Kuna fursa wajaribu kubadili mikoa,yaani bongo ambayo wabunge wanalipwa........,wewe...
  13. James ribent

    Green card lottery ni Umanamba mamboleo

    Nd Ndugu,nipatie namba yako tuwasiliane nije huko,posho yako ipo tu
  14. James ribent

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Kama huko chini ya m 5 ,naona ni kusahau kabs kuhusu ulaya,labda upate job offer,ila UAE unaingia upesi Sana,na hapo ndo tumesetiwa kuanzia hapo
Back
Top Bottom