Recent content by James Kimaka

  1. J

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession: Driver Experience,: 3 years Location: Dar es salaam
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva

    Habari za kazi wakuu, Mimi ni dereva umri wangu ni miaka 25 na ni mkazi wa Dar es Salaam, ninahitaji ajira/kibarua cha kuendesha gari ya kampuni, shule, daladala au gari binafsi. Nina vyeti na leseni yenye madaraja A, A2, B, D, C1, C2, C3, E. Tafadhali share na wengine kadri uwezavyo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dereva natafuta kazi

    Habari za kazi wakuu, Mimi ni dereva, ninahitaji ajira kuendesha gari ya shule, daladala au gari binafsi. Nina vyeti na leseni yenye madaraja A,A2,B,D,C1,C2,C3,E. tafadhali share na wengine kadri uwezavyo. Napatikana kwa namba 0743830515
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeitwa kwenye interview ya TANROADS Songea?

    Habari za muda huu wakuu, Ninaomba kama kunamtu ameitwa kwenye interview ya udereva TANROADS Songea anisaidie kunikumbusha walisema interview itafanyika wap maana mimi ni mgeni huko songea na sikumbuki tena walipopataja
  5. J

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi ya udereva

    Naomba muongozo kuhusu hizo nafasi kaka
  6. J

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi ya udereva

    Habari za muda huu ndugu zangu, Kwa majina naitwa James Aloyce Kimaka nina umri wa miaka 24, ninaishi Dar-es-Salaam. Ninatafuta nafasi ya kazi ya udereva kwenye shirika kampuni au mtu binafsi. Nina leseni yenye madaraja A, A2, D, C1, C2, C3, E. Nina uzoefu wa kutosha katika fani hii na pia...
Back
Top Bottom