Ila mimi naona imempunguzi cv huyo jaji angeimaliza siku upande wa serikali walipomaliza kutoa ushaidi na kuifutilia mbali ingemjenga sana lakini kusubili chombo kingine kiingize maamuzi yake ukweli imemshusha kiwango.
Klekippo,naamini wewe ndo ukunielewa vizuri, Mimi siyo kwamba naunga mkono kwa serikali mikopo isiyo na tija, ila mimi nachukulia mfano nchi hii tokea tumepata uhuru, Hawa watangulizi wa Mama Samia wamekuwa wanakopa tu. Sisi kama wananchi wala hatuanbiwi ila utasikia deni la taifa sasa tilioni...
Duh! hiyo 100 uwa inapatikana tz tu hasa kizazi hiki, nakumbuka hata mwl Nyerere hakuwahi kupata hiyo 100 na haiwezekani watu 376 wakawa na mawazo sawa labda kama wote wameangalizia😂😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.