Recent content by jambazy

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ukitazama video hii utajua kama Rais Magufuli anajua kiingereza au vipi?

    Mnaosema anajua pia nyinyi hamjui English gani Hilo kwa msomi tunaeambiwa Ana degree zaid ya 3. Si Abu kutojua kiingereza na alonge tu Kiswahili Yanini taabu?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kutoka kwa Wazee wa Chama Cha CUF - Dar es Salaam

    Hawa wazee wana akili za kihanisi kabisa Na bora wamekula posho warudi makwao Wakapumue mambo ya kibaradhuli wasituletee kabisa
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naibu spika asiwaite wabunge waliohukumiwa Waheshimiwa

    Watanzania 75% wanakunywa mataptap kwa mujibu wa tafiti za hivi karibuni My note : mwanzo nilibisha sasa nimeamini kwa mtu kama huyu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Manji: Nchi yangu hainithamini

    Si uliwadhulumu waislam viwanja wewe Na hio coco pia dhulumu si una hela wewe? Lolote waweza kufanya c ndio? Haya Kyle ulimfunga ponda Na viwanja ukadhulumu sasa mfunge mzee makomeo uibe a coco beach Usojijua mja wa laana
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wamuadhibu Seif kwa kushirikiana na Lowassa

    Ataka tinwa huyo
  6. J

    JamiiForums Tanzania Katika watu wanaojuta ni Arfi Said

    Amepishana na Gari la mshahara
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hawa ndugu zetu wanaosema wanaotesha nywele kwenye vipara ni kweli wadau au wanatuibia

    Nimetumia binafsi imeniondolea kipara yaani nafuga Afro kabisaa Ila hapa nchini kwetu mm sijui Kama inapatikana mm nilichukua India
Back
Top Bottom