YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Naona naibu spika ulimi wake umekuwa ukiteleza.Mtu akihukumiwa ni mhalifu hatakiwi kumwita mheshimiwa.Hata anaposoma maazimio ya bunge mfano anamsimamisha Godbless Lema AU sugu.Aseme ninatangaza kuwasimamisha Godbless Lema na sugu.Asiseme ninawasimamisha waheshimiwa lema na sugu.Wana uheshimiwa gani wakati wametiwa hatiani kama wahalifu maarufu bungeni?
Ingefaa hata aseme namsimamisha mhalifu Godbless Lema na mhalifu mwenzie Sugu.HIYO INA SOUND vizuri.Na inawafaa.
Ingefaa hata aseme namsimamisha mhalifu Godbless Lema na mhalifu mwenzie Sugu.HIYO INA SOUND vizuri.Na inawafaa.