Recent content by jambaz

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lucy Sabu: Mnawasaidiaje Wanaopata Tatizo la Afya ya Akili kwa Kukosa Ajira

    Yani mgonjwa yupo hospitalini tabani umeulizwa tunamsaidiaje, we unasema mmepeleka mtaala mashuleni sasa huyo mgonjwa anahusikaje hapo. Huyu N/waziri ajitafakari nadiliki kusema arudi tu kwenye professional yake asisubutu kuchukua form ya kurejea bungeni ameproove failure sana.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya World Happiness Index 2025: Viwango vya furaha miongoni mwa Watanzania vinazidi kuporomoka

    Tanzania yangu jamani, ila sio mbaya madam tunauza na kutoa misada kwa nchi zilizoju yetu kwa furaha tutafika kwenye 20 bora miaka michache ijayo.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Msingi Sana katika maisha

    Hakika huu mwaka unaenda kuisha vizuri, tukiuendea mwaka ujao na busara kama hizo. Hadi wachangiaji karibu wote wamejaa hekima na michango murwa sana. Big up.
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Singida: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

    Ushindi wa namba 5 na 6 idadi kura za ushindi zinatia shaka sana.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Raia wa Tanzania tunadharauliwa na raia wa nchi jirani tukiwa nje ya nchi yetu?

    Hata hapa ndani ukienda kwenye makundi tofauti ya watu wanakuainisha kwa minajiri au mitazamo hiyohiyo. Mfano, Ukitoka mikoani kuja dar wanakuona mshamba hujui kitu na husitahili kuwaelekeza chochote, ukitoka dar kwenda mikoani wanakuona kama tapeli fulani, Ukitoka dhehebu hili kwenda lile...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei kwa bidha mtaani unatisha, hasa vifaa vya ujenzi

    Baada ya kupita miji na majiji kadha hapa nchini kila nilipojaribu kununua vifaa vya ujenzi nimeshikwa na butwa kuona kalibu kila bidha bei imeongezeka kwa aslimia 30 hadi 50 kwa bei za awali. Baada ya kuuliza wafanyabiashara wawili watatu nimeambiwa hali hiyo wanajua serikali. Sasa niombe...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Waziri Mchengerwa aagiza uchunguzi ujenzi wa Shule iliyotengewa Tsh. Bilioni 4.1

    Wawajibishwe wote waliohusika ikiwa ni pamoja na kuwafilisi na mradi ukamilike haraka ,MRADI usisimame kisa uchunguzi wa kamati ya Tamisemi.
  8. J

    JamiiForums Tanzania CCM huu mfumo wa uongozi wa Mwenyekiti wa Wilaya na mikoa unawasadiaje mbona wizi wa fedha za serikali ni mkubwa maeneo hayo?

    Mwenyekiti jukumu lake ni kuasaini form ya mgombea uraisi akishirikiana na wajunbe wa kamati kuu ,kupokea viongozi wa juu wa chama. Lakini wajibu wake namba moja wa kuisimamia serikali wanajiweka pembeni.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwenu vijana wote

    Umeeleweka vizuri sana, ila kulinda afya yako lazima userious uzingatiwe mfano kula mlo kamili na kwa wakati . Hayo mingine take it easy, live stressless.
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kutumia Watu Kama Hawa Kujibu Hoja ni Kujifedhehesha na Kutudharau Tunaohitaji Majibu

    Hahahaha, hoja nzito sana hii basi tu.
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda sana majirani wa aina hii

    Ungeongea na baba yao sio hicho kimama na kimdomo chake.
  12. J

    JamiiForums Tanzania RC Halima Dedengo: Mwanafunzi ukipata mimba mshitakiwa wa kwanza unakuwa ni wewe

    Ukweli sasa umeanza kusemwa , R C Halima shikilia hapohapo. Waziri Gwajima njoo huku uone msimamo wa tuliowengi ni huo.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ondoeni haraka tozo hizi za matengenezo ya nyumba wakati huu wa mvua

    Ujenzi wa choo hauhitaji kibar cha serikali. Labda kama ni ujenzi mwingine
Back
Top Bottom