Recent content by jamasa

  1. jamasa

    Amos Makala anafaaa kuwa Mkuu wa Mkoa bora, nashauri aletwe Dar

    Kilicho mponza mkuu wa mkoa katavi...
  2. jamasa

    Asali ni zaidi ya utajiri

    Serikali kupitia wizara zake wangeweka kikosi kazi kwa ajili ya kupambana na kero/changamoto na vikwazo kwa watu mbalimbali wanavyo kutana navyo kwenye harakati za kujenga hii nchi. Hata kwa mwezi mara moja yaani watenge tuu kama ni juma pili ya kila mwisho wa mwezi kila...
  3. jamasa

    Asali ni zaidi ya utajiri

    Ingia kwenye hiyo link utapata maelezo mazuri tuu yatakusaidia naamini ***
  4. jamasa

    Asali ni zaidi ya utajiri

    kwenye biashara changamoto ya competitor wako ndo fursa yako ya kujitanua na kujikuza kibiashara na ndo faida inapo patikana kubwaa, naamini yeye mwenyew anajua hizo process za ku export lakin yeye sio mjasiriamali bali ni muwekezaji, anaweza kununua mashine za kisasa na kuprocess asali kwa...
  5. jamasa

    Asali ni zaidi ya utajiri

    eti viazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ***
  6. jamasa

    Asali ni zaidi ya utajiri

    Inabidi wenye mamlaka walifanyie kazi hili jambo maana wachina mpaka sasa wana pata pesa nyingi za kigeni kwa kuweka uhuru wa ku export ***
  7. jamasa

    Asali ni zaidi ya utajiri

    Mzee baba hunitakii mema , hapo juu nimepost sample ya biashara yangu soo hapa nikifunguka tuu jua na posibility ya 98% ya kupatikana na kupewa kesi ya uhujumu uchumi ama uchochozi, vizur tuishie hapo tuu for the sake of my peace. ***
  8. jamasa

    Asali ni zaidi ya utajiri

    Mie nasema hivi kwa sababu nimepigwa KO na serikali kwenye suala la kupack asali na kuuza asali kama mjasiriamali, Naongea hivi najua changamoto tunazozipitia kwenye biashara ya asali ***
  9. jamasa

    Asali ni zaidi ya utajiri

    Kwa upande mwingine upo sahihi sanaa, lakini Tufumbe macho tuu kwa vitu vingine tuwaige china tukipata pesa tutakua na mtaji mkubwa then tutaweka viwango wanavyotaka, Ama serikali ingesimamia hilo suala naamini tungeingiza pesa nyingi sanaa ***
  10. jamasa

    Asali ni zaidi ya utajiri

    Laiti ungepitia sheria za asali ndo ungejua ni kitu chenye masharti mengi kiasi kwamba kama mjasiriamali ni vigumu kuweza kustahimili, Mpaka uwe na mtaji mkubwa ndo unaweza fanya biashara hii ya asali ***
  11. jamasa

    Asali ni zaidi ya utajiri

    Mie sijaelewa bado hii habari ya baadhi ya viongozi wetu wanatuekea mazingira magumu wajasiriamali kiasi kwamba ili ufanikiwe inabidi utumie njia za panya nyingi ama ukisema ufate process zao basi tegemea anguko tuu katika malengo yako. China wamefanikiwa sana kwenye masuala ya EXPORT yaani...
  12. jamasa

    Asali ni zaidi ya utajiri

    Viwango vya ku export asali from TZ ikidhi hizo sifa hapo chini ***
Back
Top Bottom