Recent content by jamalom

  1. J

    Nafasi za kazi TBA (Tanzania Building Agency)

    Tetesi nilizopata ni kwamba waliofanya usaili tarehe 01/10/2014 kada mbalimbali TBA, tayari wameitwa kazini, kuanzia jana wameripoti. Na njia ya mawasiliano iliyotumika ni njia ya sanduku la posta kwa waliofauli kwenye usaili wametumiwa barua zao za kazi kwa njia hiyo!Dukuduku langu ni kwanini...
  2. J

    Kituko cha Mchungaji mmoja!!!!!!!!!!!!

    Jaamaa mmoja mumini wa kanisa moja hivi alikuwa kaoa mke wake ila hawakubahatika kupata mtoto, Mwanamke akawa anaombewa na mchungaji ili apate mtoto! Siku moja mchungaji akaenda kwa kondoo wake, alivyofika akaanza kumwambia hivi unajua mume wako ndio ana matatizo,yaani hana uzazi. Cha kufanya...
  3. J

    Wanawake waliondani ya ndoa na staili Mpya!!!!

    Wewe wasema!!! Hakuna anayependa kuliwa mke!
  4. J

    Wanawake waliondani ya ndoa na staili Mpya!!!!

    Kuna siku yatakukuta ndio utajua!!!!machungu,
  5. J

    Wanawake waliondani ya ndoa na staili Mpya!!!!

    Habari ya mjini ni kwamba wanawake waliondani ya ndoa tena watumishi walioajiriwa!!! wana staili mpya sasa hivi, Mwanamke anakuwa anamiliki simu ambayo mume wake haijui, Na hiyo simu anakuwa anahiacha kwenye Droo ya meza ya ofisi, akifika ofisini anaanza kuchat na mahawala zake! Anafanya upuuzi...
  6. J

    Kama wanaume tungeacha ulevi na uzinzi!!!!Starehe.

    Najua lazima! kutetea. Hata kama mungu kakataza.
  7. J

    Kama wanaume tungeacha ulevi na uzinzi!!!!Starehe.

    Kama wanaume tungeacha ulevi na uzinzi, Maana yake starehe upande wa maisha yetu yangekuwa bora zaidi sana. Kila mwanaume angekuwa na uwezo wa kuhendesha familia yake vizuri! Kwa mfano wale ambao wanapata pesa kwa njia ya ushirikina huwa wanapewa masharti magumu kama vile Wasinywe pombe, Awe na...
  8. J

    Siasa za Tanzania na vituko vyake!!!!!!

    Nashindwa kuelewa siasa za Tanzania!!Pale chama fulani kinapopata mafanikio, migogoro inaanza. Nakumbuka mwaka 1995 chama NCCR mageuzi baada ya kupata mafanikio, kwa kupata majimbo mengi kwenye uchaguzi, Baada ya miaka mitatu migogoro ilianza ndani ya chama. ikionekana baadhi ya viongozi...
  9. J

    Natafuta mchumba!!!Wa kike.

    Mi nikijana mwenye umri wa miaka 29, Mweusi, urefu wangu 176cm. Natafuta mchumba ili baadae awe mke wangu! Naishi maishi ya kawaida, kuhusu kazi au elimu, kama huko serious nitafute utajua. Sifa za mchumba: 1. Dini yeyote ile ila asiwe mtu wa kudharau dini za watu wengine, maana yake ubinadamu...
Back
Top Bottom