Tulishaambiwa Nchi hii Mahakama haiko huru! Yaani mtu mmoja wa Serekali ana uwezo wa kupiga simu na kumuelekeza Jaji nani wa kumpa haki na nani wa kumnyima haki!
Sidhani kama anafamilia huyu! Mtu mwenye familia hawezi fanya jambo la kijinga namna hii! Kama ana familia labda inaishi Kambini sio huku uraiani kwetu!
Hata mimi nimebaki mdomo wazi! Zamani UVCCM ilikuwa ni Tanuru la Fikra, ila sasa ni Tanuru la Machawa!
Hebu fikiria huyu ni Kiongozi wa Juu wa UVCCM ndio anajibu hoja namna hii!! Kweli sisi kama Taifa tumepotea njia, tunaongozwa na vipofu wa Fikra!
Sister hiyo Mimba ukijaaliwa kujifungua salama, nakushauri huyo Mtoto mpe jina la CHADEMA, make kichefu chefu cha hiyo mimba isikiapo neno Chadema sio cha Sayari hii! 😁😁
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.