Recent content by Jakubumba

  1. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

    Mie nampenda sana Mungu, naamini maandiko yake pia, Ila sioni ubaya wa yeye kuendelea na music kama dhamila yake ilikua ni kuburudisha. Kama alikua Na dhamira nyingine ni uamuzi mzuri. Kama kasisitiza mziki wake usiuzwe ni sawa Ila he atakubali kugawa Mali alizopata kupitia huo mziki?
  2. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Tunaishukuru serikali ya JPM, sasa bei ya sukari imeshuka hapa Dodoma

    . Kwani hamwezi kuishi bila sukari?
  3. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Mkuu baada ya kusomwa waziri Mkuu ndo heading ikabadirika, watu wamekereka kupigwa chini tabiri zao
  4. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Mkuu punguza raha!
  5. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Magufuli tayari amefeli mtihani, serikali yake itaandika histiria mpya kama ya jk.
  6. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Akili zenu ndo zimeishia hapa, kuwaza ngono mda wote.
  7. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Sijawahi hata kumsikia hio katelephone!
  8. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Anaesubilia jipya kutoka kwa hii serikali ya ccm inabidi akapimwe akili,serikali ni ileile, rais ni kama walewale waliopita kwenye chama kilekile.
  9. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania DC Makonda, ni Kujipendekeza au Utovu wa Nidhamu?

    Mzee kaa pembeni tumechoka pumba zako! Huoni aibu kuandika upuuzi na kujichekesha hovyo hovyo?
  10. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai, Naibu Spika Tulia Akson Mwansasu, lazima UKAWA wanyooke

    Sasa ukawa wamenyoka wapi
  11. Jakubumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The walkers: Naomba kujua series hii inaishia season ngapi?

    Uko nyuma sana ndugu, sasa hivi ndo tuko season 5, INA kama episode 12.
  12. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli afanya Ziara ya ghafla kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Watanzania tumezoea mazingaumbwe! Na atutuchezea akili hadi anaondoka.
  13. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli afanya Ziara ya ghafla kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    wanzania tunapenda kulagaiwa, na tutaendelea kulagaiwa miaka kumi mingine. Hizi sinema alizicheza jk na tuliona outcomes zake.
  14. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Ajali Iliyosababisha Kifo cha Deo Filikunjombe ni ya Mungu au ya Shetani?

    Pasco! Inabidi sasa na wewe nikuulize swali, kama hii ajali si ya mungu wala shetani, wewe unafikri ni ya nani?
  15. Jakubumba

    JamiiForums Tanzania Wacheche sana dunia hii.

    Watu mkiona uchi tu mnawaza ngono.
Back
Top Bottom