Recent content by jakisek

  1. J

    job application online/through email

    Inategemea na instruction za hiyo company kama wamesema cv weka cv tu. Kama watataka barua watasema uambatanishe na barua kwa post waliyoitoa .Swala liko pale pale jinadi vizuri ili ufanye interview . Kuhusu vyeti cv itakuwa imeongea then baada ya interview ndo vyeti hutakiwa kama udhibitisho wa...
  2. J

    Kazi mgodini (Training program)

    Ajira tanzania hivi sasa ni kujuana au pesa mpaka uwe na refa ndio upate kazi . Mara nyingi kazi hutangazwa kama kufuata taratibu tu lakini wanakuwa na watu wao ndio maana umeona wote hamkuchaguliwa . Usishangae hata sasa ukaenda tena mambo yakawa vile vile. Hii ndio Tanzania yetu! Kuna mtu yuko...
  3. J

    kwa nini unakosa ajira kwa watu kujiuliza tutakulipa nini?

    Napenda kuwasalimu wote mliopo kwenye jamiiforum kwani ni mara yangu ya kwanza kupost topic. Kuna jambo nisilolielewa labda mnaweza kunisaidia. Nimekuwa nikitafuta kazi kwa muda sasa japo nimejishikiza sehemu lakini bado sijatulia. Kinachonishangaza ni kwamba nimeenda kwenye interview kadhaa...
Back
Top Bottom