job application online/through email

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,295
wana jamvi naombeni msaada kwa hili jambo maana am i n confusion
hivi hizi nafasi za kazi ambazo wanatoa instruction "if interested please send your cv to the email link above" ina maanisha una tuma cv peke yake au una attach na barua ya application?

swali jingine ni kuhusu kuapply online, je is it necessary kutuma scanned certificates?

i will apreiate msaada wenu
 
Inategemea na instruction ya mwenye kazi. Wengine hutaka CV peke yake na wengine hutaka CV pamoja na covering letter inayoelezea kwa nini unafikiri unafaa kupewa hiyo kazi. Mara nyingi watu wengi siku hizi hawana intrest na vyeti katika hatua za mwanzo.

Cha msingi hakikisha CV yako inaweza kukuuza vizuri ili uitwe kwenye interview. Ukishafaulu interview ndo unatakiwa kupeleka vyeti tayari kwa kuanza kazi. Huo ndo uzoefu wangu mchche.
 
thanks much my friend at list umenipa moyo maana nilikua in confusion
 
covering letter na CV tu vyeti havina umuhim labda aseme ua-attach na vyeti.
 
na wengine emails zao ukishaattach scanned vyeti basi inafeli. ndo maana wanapenda utume cv peke yake. siku wakikushortlist basi watakwambia njoo na original certificates zako.
 
Zina fail sabau ya ukubwa wa scanned doc zako lakini ukihakikisha doc yako haizidi 350kb basi kuwa delivered kayika inbox yoyote ni hundread % maranyingi usivuke 2mb katika attachment zako.
 
Mkuu,
Uwe unafuata maelekezo unayoambiwa kufanya ili kutuma application yako kwani ni sehemu ya interview pia kama ni muelewa na waweza kufanya kile ulichoambiwa na si vinginevyo.
Sio wote huwa wanataka vyeti , CV pamoja na cover letter. Kuna wengine huwa wanataka CV tu, hivyo vingine unaenda navyo ukiitwa kwenye interview. :A S-coffee:
 
Inategemea na instruction ya mwenye kazi. Wengine hutaka CV peke yake na wengine hutaka CV pamoja na covering letter inayoelezea kwa nini unafikiri unafaa kupewa hiyo kazi. Mara nyingi watu wengi siku hizi hawana intrest na vyeti katika hatua za mwanzo.

Cha msingi hakikisha CV yako inaweza kukuuza vizuri ili uitwe kwenye interview. Ukishafaulu interview ndo unatakiwa kupeleka vyeti tayari kwa kuanza kazi. Huo ndo uzoefu wangu mchche.

sasa ndugu kuki,
kama intruction zinasema attach cv, iyo "Wengine hutaka CV peke yake na wengine hutaka CV pamoja na covering letter" inatoka wapi? me naona it is a fact kwamba wanataka cv tu kwa sababu ni wao ndio wameapproach applicant hivyo huna haja tena kutuma application letter kwa sababu iyo cv peke yake inatosha kukuuza vizuri kuitwa interview.

i suggest atume cv tu
kama wadau wengine walivyoongezea, inawezekana ni mbinu kupunguza applicants.

natumaini nimeongeza kidogo ktk uzoefu wako.

good luck ndugu mtende.
 
Inategemea na instruction za hiyo company kama wamesema cv weka cv tu. Kama watataka barua watasema uambatanishe na barua kwa post waliyoitoa .Swala liko pale pale jinadi vizuri ili ufanye interview . Kuhusu vyeti cv itakuwa imeongea then baada ya interview ndo vyeti hutakiwa kama udhibitisho wa yale uliyoyaandika.
 
thanks all, now u gave me a vision on what to do, thats why nyinyi ni great thinkers
 
sasa ndugu kuki,
kama intruction zinasema attach cv, iyo "Wengine hutaka CV peke yake na wengine hutaka CV pamoja na covering letter" inatoka wapi? me naona it is a fact kwamba wanataka cv tu kwa sababu ni wao ndio wameapproach applicant hivyo huna haja tena kutuma application letter kwa sababu iyo cv peke yake inatosha kukuuza vizuri kuitwa interview.

i suggest atume cv tu
kama wadau wengine walivyoongezea, inawezekana ni mbinu kupunguza applicants.

natumaini nimeongeza kidogo ktk uzoefu wako.

good luck ndugu mtende.

thanks sinza boy
 
Inategemea na instruction za hiyo company kama wamesema cv weka cv tu. Kama watataka barua watasema uambatanishe na barua kwa post waliyoitoa .Swala liko pale pale jinadi vizuri ili ufanye interview . Kuhusu vyeti cv itakuwa imeongea then baada ya interview ndo vyeti hutakiwa kama udhibitisho wa yale uliyoyaandika.

thanks jakiseki be blessed ndugu
 
Back
Top Bottom