Recent content by Jakamageta

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ajue Bwanaake Yesu alikaa na Mashoga na watoza ushuru. Alikuja kwaajili ya Mashoga na wenye dhambi. Aache kujifaragua. Aache kuu-promoti

    Kwanini unatetea ushoga, au na wewe ni mnufaika wa hayo maovu? Acheni usodoma,
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dudubaya ajue Bwanaake Yesu alikaa na Mashoga na watoza ushuru. Alikuja kwaajili ya Mashoga na wenye dhambi. Aache kujifaragua. Aache kuu-promoti

    Acheni kutetea Ushoga, ushoga ni laana na ni dhambi kubwa sana,
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna anayependa Jeshi lake lichafuke. Nimewalinda ndio maana nimewabadilisha

    Kifo kilichomuua Magufuli bado nakilaani mpaka kesho, Ila Mungu amesikia kilio cha watanzania haya yote yataisha,
  4. J

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Mwita Milumbe adaiwa kuteswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada

    Wameanza kuuana wenyewe kwa wenyewe
  5. J

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara amuasa Heche kukaa meza ya maridhiano ili Lissu atoke

    Kwahiyo pale mahakamani ni maigizo tu, Ili Lissu atoke ni lazima chadema ikubali maridhiano? Na wanaridhiana kwa sababu zipi? Nani kawagombanisha? Nani ni mpatanishi?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Mafinga mjini: Hatujafukuza watumishi wa afya, bado tunauhitaji

    Kwani huyo Dr.Victor ni DMO au MOI? Na hizo taarifa za kufukuzwa madaktari saba Dr.Victor kazitoa wapi? Madaktari mjiepushe na siasa mbaya za ccm, fanyeni kazi kwa kufuata miiko ya taaluma yenu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Nchimbi hakuwa chawa ndani ya CCM alikemea maovu

    Umewahi kuona mwenyekiti wako wa Taifa akikemea maovu kama utekaji na mauaji ya wananchi yanayofanywa na polisi?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Nchimbi hakuwa chawa ndani ya CCM alikemea maovu

    The only remaining truthful and sober Mind in CCM, Ccm and Intergrity,truthfulness plus Responsibility Can NEVER appear in the same sentence,
  9. J

    JamiiForums Tanzania Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

    Parokia Imekukosea nini we jamaa? Why are you too much preoccupied by parish? Emma should be judged individually, there are so many parish members supporting your chairwoman samia from Zanzibar(self centered people)
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna vyuo vikuu vya hovyo km vinavyomilikiwa na KKKT.

    Ivi walokole na Wasabato wana vyuo hapa Tanzania??,najua vyuo vikuu 2 bora kabisa vya wasabato Kenya lakini kwa hapa Tz,sijajua kama kipo,
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima Makamu mpya wa Rais awe mkatoliki?

    Siyo lazima, awe hata muislamu kikubwa awe na sifa na mwenye kufuata sheria za nchi ila hasiwe kama mama wa Zanzibar
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kombo: Tundu Lissu anakwenda kunyongwa, CHADEMA kapigeni goti kwa Rais Samia

    Mungu ndiye wa kupigiwa goti, labda kama samia amechukua nafasi ya Mungu hapa duniani,
  13. J

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Lila yaanza kazi, yapewa hadidu tano za kuchunguza wahusika wa ghasia

    Tume baada ya tume na hatua hatuoni zikichukuliwa, Tanzanians let us accept and move on strong, only almighty God will intervene and fight for us those who killed our loved ones, "Cused is the one who kills Innocent blood"
Back
Top Bottom