Leo huku maeneo ya buza umeme unakatwa kila baada ya nusu saa na unarudi kila baada ya saa 1 au saa 1 na zaidi, hamuoni mnataka kutuharibia vifaa vyetu pamoja na kutusimamisha kufanya kazi siku nzima?
Hebu kuweni serious wkt mwingine, maana kwetu wengine umeme ndo unatupa mkate wa kila siku
Pia kumbuka lilitakiwa kubomolewa na huyo huyo kwa kigezo cha kupisha DRT, but baada ya waliokua juu yake kukataa DRT ilijengwa bila ya hilo jengo kuguswa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.