Recent content by JAK Mirenyi

  1. JAK Mirenyi

    Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    Leo mnakuja maneno ya kuvaa viatu......... Hivi mnaifahamu historia ya Nchi ilikotoka hadi kufika hapa ilipo pamoja na kejeli zenu nyingi !!!!! Walioipigania nchi hii kwa mali na hali kiasi cha ndg zao kupoteza maisha wametulia wanawaangalia mkijitapa kuwa mnao uchungu, uchungu upi............
  2. JAK Mirenyi

    Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    Bado sijaona uchungu na uwezo wako wa kufikiri zaidi ya kukaririshwa maneno kama KASUKU. Tajeni alichokifanya RC ,mnabaki kutoka povu. Rc alikaribishwa na Wahusika sasa kosa lake nini linalokufanya uwe na UCHUNGU !!!!!
  3. JAK Mirenyi

    Nimejisikia uchungu mkubwa, sababu nafahamu historia ya Mradi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha

    Hawana hata chembe ya historia ya Watanzania walikotoka. Wangekuwa na uchungu wasingetaka sera ya USHOGA, kweli hawa matapeli wa kisiasa wanawatakia mema WATANZANIA ????
  4. JAK Mirenyi

    BAWACHA Arusha, wasikitishwa na Mkuu wa Mkoa kwenye Uzinduzi wa Hospitali

    Ingekuwa ya hovyo ISINGEPEWA RIDHAA NA WANANCHI pamoja na mzee wenu wa mafuriko ......
  5. JAK Mirenyi

    BAWACHA Arusha, wasikitishwa na Mkuu wa Mkoa kwenye Uzinduzi wa Hospitali

    Wewe Cecy acha mboyoya........ onyesha mahali ambapo au neno alilotumia RC la kudhalilisha ! Katika barua aliyoandikiwa Mkuu wa Mkoa ,hakuna mahali inamtaja Lema . Inakuwaje MTU anataka kumuwekea mwenzie maneno MDOMONI kwamba alitakiwa amtaje Mbunge. Jifunzeni kuwa WASTARABU kwani Lema...
  6. JAK Mirenyi

    Ziara ya kikazi ya RC Arusha katika wilaya ya Ngorongoro

    Nteghenjwa Hosseah - Arusha UGONJWA WA KUTISHA WAUA WATU 21 NGORONGORO Wananchi wa Kata Pinyinyi, Wilaya ya Ngorongoro wanasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu wa kutapika damu kwa takribani miaka minne sasa na hali hii imewasababisha wananchi hao kuwa na hofu na kukosa amani ya kuendelea kuishi...
  7. JAK Mirenyi

    Mkurugenzi wa jiji la Arusha adaiwa kufanya ubadhirifu wa milioni 500

    Mtoa hoja inaonekana una agenda ya siri. 1:- Hakuna Baraza la Madiwani lililokaa ( upotoshaji) 2:- Fedha mil 500 ,zilitengwa kwa Jengo LA Utawala Kaliua zitoke Serekali Kuu bajeti ya 2015/2016 na mpaka leo hazijapokelewa 3:-Mweka Hazina na Afisa Manunuzi walivuliwa madaraka kwa sababu...
  8. JAK Mirenyi

    Hoteli ya Mt. Meru yawekwa Sokoni

    Duuuu.......kuna watu wameshikiliwa AKILI ! Anatoka na mada ambayo kwa ufinyu wa akili yake anaona ina mashiko ,kumbe siyo lolote ni sawa na pumba tu. Changanua jambo kwanza kabla ya kulisambaza,usije onekana KILAZA
  9. JAK Mirenyi

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Nimekua najiuliza sana,Huyu Mungu ni mwenye upendo kiasi gani,mbona huwakumbuka watu wake wakati muafaka wamuitapo?Magufuli,amefanya mambo makubwa ndani ya miezi 9 tu, 1. Elimu bure 2. Kila mwanafunzi anakalia dawati 3. Amefufua shirika la ndege ATCL, amenunua ndege 3 4. Ameanzisha mahakama...
  10. JAK Mirenyi

    Magufuli anasafisha nchi, tumuunge mkono

    Pamoja sana ktk KUJENGA Taifa linalojitegemea.
  11. JAK Mirenyi

    Tundu Lussu: Ninamkumbuka Jakaya Kikwete

    Huko ndiyo kukiri kwenyewe huko ! Wakudadavua, uko makini. Wako watu waliozoea kukaririshwa maneno ,bila kuzingatia hoja . Wao kila litakalosemwa,ni kupinga tu [emoji102]
  12. JAK Mirenyi

    Ubinafsi wa madiwani wa Arusha waendelea kuitia hasara jijji la Arusha

    Duuu.......ni hatareeeee. Wako kimaslahi zaidi sababu hata waliowawekea dhamana ni wananchi wa kawaida tena WAWILI TU ! Sasa unajiuliza wote 33,wameacha Baraza halafu wakaenda kujianika Mahakamani ili iweje. Aibu ,acheni KUKARIRISHWA MAMBO KAMA KASUKU .
Back
Top Bottom