Recent content by jajoga

  1. jajoga

    JamiiForums Tanzania Maoni ya J. Mtatiro: Akina Butiku si wakweli kuhusu Lowassa

    Kaka mtatiro maneno yako yemeenda shule na anayeweza kipinga asitoe maneno ya kashfa tu aje na hoja. Nakupongeza kwa uchambuzi wako. Kwasasa kujadili mtanda ambao kwa bahati nzuri watanzania wengi tunaufahamu na ulivyohusika kujenga watu na kubomoa wengine hatuwezi kubishia ukweli ulioubainisha...
  2. jajoga

    JamiiForums Tanzania Kwa serikali ijayo: Walimu tunataka haya

    Naomba juongezea ... walimu wanahitaji kuwa na chombo kimoja cha ajira na huduma kwa walimu na amcho ndicho kitakachokuwa kinalipa mishahara na marupurupu mengine. Walimu wanahitaji nyumba za kuishi. Walimu na wanafunzi wenye ulemavu wa aina mbalinbali wanahitaji kuporeshewa miundonbinu muafaka...
  3. jajoga

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Watu wana tumaini na basha sha kubwa mioyoni mwao na wamejawa na imani na siasa hizi ambazo zinawapa matumaini. Kwasasa watu wengi wanaamini kuwepo mabadiliko ni jambo lenye tija kwao. Jambo la kusisita ni kuwepo kwa amani wakati mabadiliko yanatokea kwakuwa historia haiseme vyema kuhusu uwepo...
  4. jajoga

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Duh mapenzi ya kiasi hiki kwa Mgombea wa CHADEMA ni finbo ya kuwapigia CCM ...nilishuhudia wakati wa hotuba watu wakilia kwa uchungu nilipomuuliza mmojawao akanambia kuwa moyo unazizima kwa furaha hadi kutoa machozi.
  5. jajoga

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Jamani hakuna picha? Au tukio bado?
  6. jajoga

    JamiiForums Tanzania Gari la Ole Sendeka lavunjwa vioo Kiteto, Polisi wafyatua risasi na mabomu

    Matokeo wametangaza?
  7. jajoga

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Mbona picha hamtumi tena wadau?
  8. jajoga

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Piga long shots maana close ups hazioneshi hali halisi ya tukio
  9. jajoga

    JamiiForums Tanzania Ombi la kunikaribisha

    Karibu sana
  10. jajoga

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Wadau je kuna TV au Redio zitakazorusha live? Tujulishane wadau maana tukio hili ni kubwa
  11. jajoga

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vinatumika kuihujumu CCM?

    Nadhani si vyema kuilaumu ITV kwasababu tu imechambua kwa undani yaliyojiri kwenye kura za maoni na hasa kuhusu tuhuma za rushwa. Waliobainisha tuhuma hizo ni Takukuru na walikuwa wanafanya kazi yao kulingana na maadili ya kazi hiyo. Kazi ya chombo cha habari ni kuonesha yanayojiri kwa misingi...
  12. jajoga

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Tunakutakia maisha marefu katika tasnia hii ya Muziki na tunakuonga pia uongeze nguvu katika kuwasaidia wale wenye mahitaji maalum kwakuwa wewe ni kielelezo cha vijana wa Tanzania Afrika Mashariki na kwa Afrika. Tuko pamoja nawe leo,kesho na kwa maisha yote
  13. jajoga

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Kila jambo litakwenda sawa its a matter of time
Back
Top Bottom