Recent content by Jajajrcode3

  1. J

    Serikali: Bajeti ya sensa ni Tsh bilioni 629

    Katika kodi anayeumia ni yule mtumiaji wa mwisho, hvyo bas mwenye nyumba hawez umia mana atapandisha kodi. Wapangaji shuhuli tunayo mana hata dukan kitu kikipanda bei nae mangi anapandisha 🙆🙆🙆
  2. J

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa msojua uhalisia wa hii vita ni kwamba wanaopigana hapa ni Russia vs USA(socialist vs capitalist),yaan kila mmoja anataka kuitawala dunia. Russia yupo na China na nchi nyingi za Asia huku USA akiwa na UK, France na nchi nyingi za Ulaya. Pia kuna mgogoro mpya unaenda kutokea kati China vs...
  3. J

    Naionya China, isijaribu

    Hapa mtoa post umeangalia upande mmoja tu, kwan hao USA na washirika wake unadhan hawapotez silaha ktk kutoa msaada? Pia uchumi huw unategemeana kama China na Taiwan wakipigna bas US lazma adhurike pa kubwa mana Taiwan ni mshirika wa tano wa US ktk biashara na US ni mshirika wa pili kwa biashara...
Back
Top Bottom