Recent content by Jaiy

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania naombeni maoni yenu katika kufanikisha sehemu ya tafiti yangu

    Mi Nadhani kuna kitu zaidi ya hayo:mafunzo mabaya kuhusu imani zao pia, hawapati elimu sahihi kuhusu dini yao, wanakuta na watu wenye mitazamo mibaya ya kiimani na kujazwa ujinga
  2. J

    JamiiForums Tanzania Maana pana ya Chenge kuenguliwa uenyekiti wa kamati ya bunge la JMT

    Huyu jamaa kashatuibia sana alafu pumbafu bado wanamlinda anazidi kuiba tu, mwisho wa siku hela zetu alizoiba anaita vijisent 😡
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Prof Jakaya Kikwete, Ukumbini Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    Sasa story za mshua zimekua ndefu, afanye summary kidogo, si tuende zetu mjengoni tukawahukumu wezi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Samahani Mheshimiwa rais, tunataka kuangalia Bunge.

    Mi akili yangu ipo mjengoni afu hata hamalizi...
Back
Top Bottom