Hivi kwa nini vijana wa zelesky ni mapopoma hivyo? Uzi upo kule nyie mnakuja kuanzisha takataka zingine humu..mood ebu toa hizi takataka..hatutaki dublication jf
Takataka hii imeandika uoze..mswahili alishashiba kisamvu na dagaa mchele..baas kutwa kucha ni kucheza vigoma tu! Wewe unasiri kuzid KGB wewe! Ebu tuondolee bangi za msovera hapa.
Kijana ww bado mdogo sana..haya mambo ni mazito..nikuombe uende kwenye ule uzi wa kula kimasihara au chit chart...humu ni pagumu sana mdogo wangu..please adhere to my advice...
Nasikitika kwanza kukusingizia ukatoliki..basi nakuondoa kwenye ukatoliki nakuweka kwenye upagani kabisaa..yaan unaaingiza mambo ya meditation kwenye ukristo! Wakatoliki hawako hivyoo.meditation is all about paganism..hinduism..toka huko kijana MUNGU WA KWELI HAWEKEWI MIPAKA..watu wa rohoni...
Huelewi nilikiandika mjomba! Rudi kasome kwa padiri wako...nimekupa mifano ya watu kuona maono ya mbinguni...lakini pia wapo watu kama kina daniel tena wengi tuu...shida yako na wenzako mmepigwa upofu japo mnaona.
Wewe utakuwa ni mkatoliki..watu msiosoma biblia..nenda kasome kitabu cha danieli..nenda kasome ufunuo..hao wote walifika na kuoneshwaa maono mbalimbali..shida yenu hamuani katika uweza wa MUNGU..nyie mmekalia ekaristi tuu..na ishara za misalaba na masanamu yenu madhabahuni..unapsawa kujua nini...
Ni kweli pasaka ilikuwepo tangu Yesu hajazaliwa..pasaka ilikuwa inaadhimishwaa na wayahudi kukumbuka siku waliotoka utumwani..siku ya ukombozi wao toka misri.
Kwa nini wakristo tunasherekea pasaka ya leo?
Tunasherekea kwa sababu YESU alifufuka akashinda kifo hivyo tukapata ukombozi wa dhambi...
Lol! Tela ww sijui kilewella kule unapigwaa na facts na majempe ya putin had kamasi zakutoka...we baki humu humu ndo kunakufaaa kule tuachie sie majemedari wa moscow
Haya ndo matatizo ya mwanaume kumvulia mwamaume mwenzake! Kiswahili chenyewe shida...mpangilio wa sentensi shida..aisee watu kama nyie ni wakupigwa shaba tu.
We nae ni mpuuzi puuzi tuu..huna unalojua...hufai hata kwenda veta..wewe rudi secondary kabisa mana hata uandishi wako unatia kichefuchefu.. kama USA anajiamini kwa nini asipeleke tako pale ukraine mazima..mbona anaiba iba na hao NATO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.