Recent content by Jahface kotto

  1. J

    Schizophrenia ni nini?

    Sikushangai wewe kuwa mbishi hao mitume wenyewe hapo zamani walikataliwa nntakuwa mm . We subiri waje wenyewe wenye utukufu zaidi km ukibahatika kuwaona .hata ukifa utakuja kupata habari tu ! Umeambiwa kagoogle usome umeshindwa . We ndo unaleta udini unajaribu kutetea kitu...
  2. J

    Schizophrenia ni nini?

    Sawa ndugu nntakitafuta nashukuru ! Nna kitabu kimoja pia kinanienspire kt ya vitabu vyangu kinaitwa THE SECRETY RELATION SHIP BETWEWN BLACKS AND JEWS CHA MINISTRY LOIS FARAKHAN kizuri sana km huna kitafute ! BLESS YOU !
  3. J

    Schizophrenia ni nini?

    Mi mpya humu lkn naona baadhi yenu wa bongo mmepinda kwa ubishi lkm mjue nimetembea sana karibu nchi 20 kiustorowei au stow a way kama inavyojuliakana tangu nilipokuwa mdogo wa mika 18. Sasa basi kama umepinda NANYI PIA MTAKUJA KUNJOOSHWA NA MUNGU ! Lkn ukweli kuhusu mimi nafikiri nimepinda...
  4. J

    Schizophrenia ni nini?

    Tatizo nyi wabishi ndo maana mnakosa hata maendeleo na huu ubishi wenu sio nyny tu TZ ni waafrica wote . Naongea kitu ambacho nasikia kutoka kichwani nacho kilikuwa ndo huyo anatamburika ni kmJIHN SUPERNATURE ambae ni 666 lkn kwangu siamini kama ni JIHN. lkn YESU ameniponya kidogo na kunificha...
  5. J

    Schizophrenia ni nini?

    Sawa ndg nimekuelewa ! Je alikuwa kwa mda gani huku sweeden masomoni ? Sababu hii schizophrenia ni tatizo ambalo unalipata kwa njia mbili nilizozisema mwanzo kulogwa kwa huko nyumbani km mnavyojuwa nyinyi , kuvuta ,na kupandikizwa kwa huku ulaya ndo kulogwa huko kwa huku ! Sasa basi spirity...
  6. J

    Schizophrenia ni nini?

    Usijari ndug nilitaka kujuwa watanzania mnalichukuliaje hili swala lkn nimeona mpo wawili humu mnaofahamu kuhusu hili swala. Lkn ndugu kiukweli hapo mwanzo wakati sijajitambua vizuri nilikuwa natumia dozi kitu ambacho najihisi wazungu wamearibu kidogo baadhi ya nguvu zangu .
  7. J

    Schizophrenia ni nini?

    Sawa ndugu nimekuelewa lkn kwanza ujue nimeishi na ili tatizo kwa miaka mingi sana na matatizo unayosema dugu yako anayo nimepitia yote hayo kiasi chakwamba sasa hivi imebaki sauti tu na kama nikiwa karibu ya mtu kimaongezi au kulala kuna uingiliano wakutaka kutambuana kispiritualy lkn...
  8. J

    Schizophrenia ni nini?

    Hapana sikuwa ras hapo zamani nimekulia ktk mazingira ya ukristo lkn baada yakunitokea haya mambo nauamini uras japokuwa sina rasta stahili yangu ni upara tu tangu huko TZ. Hapana bangi sijawahi kutumia ila nilikuwa natumia sana hashish . Imani yangu ilikuwa ya kikristo na kitabu...
  9. J

    Schizophrenia ni nini?

    Ndugu yangu namuamini sana YESU kuwa yupo lkm imani yangu kivingine kabisa sababu nilipokuwa na hiyo vission nilikuwa natembezwa umbali mkubwa sana kwa miguu kule spain na sauti kichwani mda wote ilikuwa inaniambia kuwa nisijari yeye ni yesu cha ajabu nilikuwa nasikia maumivu makali sana...
  10. J

    Schizophrenia ni nini?

    Ndo maana sijataka kuingia kichwa kichwa humu JF sababu najuwa wabongo wengine kavu kweli amuuliziki na amfundishiki . Nilijuwa tu lkn nnamambo mengi na kama ningeanza kwa kuyaongea humu mtu km wewe na wengine wa mfano wako mngebisha sana . Situmii vitabu vya wazungu kuuutambua ukweli km...
  11. J

    Schizophrenia ni nini?

    Ok sawa nashukuru ntaitafuta iyo film ndugu !
  12. J

    Schizophrenia ni nini?

    W nn ww mi natafuta ushauri baada ya kuangaika sana bila mafanikio unaniambia na makusudi acha izo au unataka nikusibitishie kivp yani uelewe km nnailotatizo ?
  13. J

    Schizophrenia ni nini?

    Sawa ntatafuta ufumbuzi kwa watu wa imani ,lkn pia nilishawahi kutafuta na nikawa nakwenda kanisani lkn cha ajabu pindi tunapokuwa tumesimama katika ibaada basi yeyote yule aliekuwa mbele yangu awe mwanamke au mwanamme sehemu yangu ya siri uwa inadinda na kujihisi km nafanya mapenzi na yule mtu...
  14. J

    Schizophrenia ni nini?

    Kuna ndugu mmoja humu anaitwa Kaka MNEPHA nilikuwa nakuomba kaka mnepha kama unaona hili tatizo langu naomba unisaidie kuniambia chochote kile sababu nakuamini sana kwa upeo uliokuwa nao asa pale ulipozungumzia swala la BLACK HOLE. km upo naomba uniambie kitu sababu siamini madheebu yoyote yale...
  15. J

    Schizophrenia ni nini?

    Asante nashukuru sana kwa ushauri wako ndg !
Back
Top Bottom