Basi tufunge mjadala Abubakar sadik, anafaa ila waskilizaji na wafuatiliaji wa hichi kipindi wataendelea kupungua hapo ndipo management ya radio one itazinduka
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Wafanyakazi wa kiwanda cha pepsi wamelalamika basi hata hawa wa leopard tours waliofungwa midomo wakumbukwe
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Kipindi ni kizuri ila abubakari sadiki hakiwezi, naona hata Farhia amegundua huyu kijana ni mswahili anadakiadakia maneno wakati mwingine farhia anaongea cha maana anadakiadakia tu, hiki kipindi Mwaipaya ndo alichokiweza, kama kuna uwezekano wajaribu kutafuta mtu mwingine ashirikiane na Farhia...
Ubaya hawa jamaa wanabomoa mpaka nyumba za watu sio vibanda vya wamachinga tu, mapaa na mabaraza mengi yamebomelewa
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Arusha kweli tulikuwa tunateseka vibanda vilikuwa kila kona mpaka wapita miguu tunapata shida lakini sasa hivi jiji limekuwa safi, tunashukuru vibanda vimeondoka vilivyokuwa pembezoni mwa barabara na kuzuia shughuli za kibianadamu na miundo mbinu.
Hongera jiji la Arusha kwa kazi nzuri chini ya...
Arusha huwezi ongelea kiti moto bila kwenda sarafina kaloleni hao jamaa ni wataalamu wa kumtengeneza mdudu
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Hamisi kingwangala aliwaambia kila kitu kuhusu mo.dewji mkambeza....jamani wahindi sio watu kaeni mkijua #leopard tours arusha mfano hai
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.