Tutamuombea ikiwa atashugulika na vyongozi wakisiasa ambao wanagusua na ufisadi. a.k.a jk na team yake. hapo maombi yatafika lakini aonee waliokuwa wanapewa maagizo. alafu aache waliokuwakitoa maagizo alafu tumwombee.
walishindwa kujua kuwa wanapoonyesha upenzi kwa chama cha siasa hukondiko kujimaliza. nyimbo zote zilizogeuzwa za kusifia ccm uchaguzi wa 2010. asilimia kubwa ya wsanii waliokubali nyimbo zao kutumiwa na ccm wamekuwa choka mbaya. mimi hizo takataka za bongo muv. siitaji kuona kwangu hata za...
kwa taarifa tu. arusha hakuna maendeleo zaidi tunayotaka. lema afanye asifanye. tayari arusha kuna lami karibia mitaa yote maji shule zenye maabara umeme mahosipitali hoteli nyingi za kitalii. arusha ndio jiji linaloongoza kwa urahisi wa kupata hela. hakuna tunachoitaji arusha zaidi ya kulinda...
ocs wa kituo cha polisi mirerani apime kama anasimamia kwa weledi kazi yake ya ukuu wakituo. make kumekuwa na ukandamizaji wa maabusu mtu anaweza kukaa maabusu bila kufikishwa mahakamani zaidi ya siku tatu kinyume na sheria. vile vile kukataa kutoa zamana kwa kesi zenye zamana kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.