Recent content by Jafar M Kiganza

  1. J

    UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

    Uchizi kwangu mimi ni kufikiria ukubwa wa nchi ni idadi ya watu au ukubwa wa ardhi. Usawa katika maamzi ya kuunda katiba inabidi itokane na maridhiano ya watu woote kutokana na kile kilichopo katika katiba yenyewe na si nani alishirika katika kuitunga katiba yenyewe. Twaweza kusema idadi ya watu...
  2. J

    Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    One thing to caution, we must stop the thinking of waislam wamempiga. Yule ni binadam, hujui anaishije na watu, hujui waliompiga walikuwa na lengo gani, na pia wale ni waharifu tu. Inawezekana kabisa akawa ni muislam kwa maana ya kuzaliwa katika uislam na haina maana kila unachokifanya...
  3. J

    Tanzania ina nguvu kubwa ya jeshi kusini mwa Africa

    Ni jukumu letu kuiona nchi yetu inakuwa na uwezo wa kujilinda na kutetea maslahi na sio tu haki. Tunahitaji tulinde maslahi yetu na si haki yetu. Haki wakati mwingine huingiliwa, lakini Malawi akiziingua ziwa Nyasa tulibadiri jina na kuwa Nyerere na tutoe ushahidi hata wa uongo kudhihirisha...
Back
Top Bottom