Recent content by Jaes

  1. J

    Naomba maelezo kuhusu kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti

    Sawa nitafanya hivyo mkuu nikifanikiwa nitawaletea mrejesho ndugu zangu
  2. J

    Naomba maelezo kuhusu kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti

    Wana Jamii forums naomba kwa ambae ana uelewa au kwa ambae amewahi kufanya hii biashara ya kukamua mafuta ya alizeti, nahitaji kujua machine zinazitumika kukamua, bei zake kama kunae anaejua,lakini pia uwezo wa uzalishaji, package na masoko yalivyo
  3. J

    Msaada: Upatikanaji wa vifaranga wa kuku wa kisasa wa Mayai

    Naomba kama kuna mtu humu ambae anajishughulisha na Utotoleshaji wa vifaranga wa kuku wa kisasa wa mayai Ama mtu anaemfahamu wakala yeyote Anajishughulisha na hao vifaranga, nina shida nao. Naomba Msaada kwa hilo. Mawasiliano hangu: 0766517936
  4. J

    Msaada: Mashamba ya kulima mpunga yanayokodishwa au kuuzwa

    Nahtaji mashamba ya Mpunga yenye rutuba nzuri na ambayo yapo kweny ukanda unaotegemea mvua sio umwagiliaji na yawe na bei nzuri
  5. J

    Msaada: Mashamba ya kulima mpunga yanayokodishwa au kuuzwa

    Naomba kuuliza wana JamiiForums, Hivi ni maeneo gani mpaka sasa kwa mikoa inayolima Mpunga kwa mfano Songea ni Maeneo yapi mashamba ya mpunga bado yanakodishwa au kuuzwa kwa bei ya chini?
  6. J

    Kilimo cha mpunga Tanzania

    Naomba kuuliza ni Maeneo gani naweza kupata mashamba ya mpunga kukodi kwa bei rahisi
Back
Top Bottom