Recent content by jaeli

  1. jaeli

    Special thread kwa wana Maabara ( Medical Lab ).

    Ili kuweza kupima vidonda vya tumbo kwa usahii kipimo kizuri ni stool ila ukisema damu unaweza mpma kila mtu ukakuta ana vidonda vya tumbo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. jaeli

    Selection second

    Let wait du ila kweli wanatukomesha aisee
  3. jaeli

    Selection second

    Washatoa mkuu
  4. jaeli

    Multiple selection second round

    Bado awajatoa majibu aisee wanasema tu your apllication receved sucesfull
  5. jaeli

    Multiple selection second round

    Na vipi kuhusu single selection kwa second round au amna
  6. jaeli

    Loan Board pasua kichwa

    Samahan kwan kuna majina yatakayotolewa na heslb kwanza kuwa una sifa ya kupata mkopo au wanakutumia tu kuwa umepata mkopo ??
  7. jaeli

    Msaada kwa sisi tulioomba diploma

    Naona kama kuna competition kubwa aisee kwenye dgree na nina three ya 13
  8. jaeli

    Kozi nzuri ya afya

    Mkuu nina swali hivi unaweza aplly diploma na dgree kwa pamoja aisee
  9. jaeli

    Msaada kwa sisi tulioomba diploma

    Nina swali mkuu hivi ukiaplly diploma na bachelor kwa pamoja kuna msala wowote??
  10. jaeli

    UDSM SELECTION ROUND ONE

    Kuomba tena unalipa kwa chuo ambacho ulishaaplly mara ya kwanza??
  11. jaeli

    University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Samahan so kuna list nyingine itakuja ya waliochaguliwa chuo kimoja tu au Sent using Jamii Forums mobile app
  12. jaeli

    Tambua kama unadukuliwa WhatsApp yako

    Alama ya kudukuliwa utaionaje idd pls i need help
Back
Top Bottom