Recent content by jaduong

  1. J

    Yaliyojiri viwanja vya Furahisha Mwanza: Mkutano wa kampeni ya Dr. John Magufuli - Oktoba 17, 2015

    Alikataa boti za sea express kuenda mwanza! Anakumbuka lakini...? Hakuamini barabara zake ikabidi zipitishwe Mombasa kuenda mwanza.
  2. J

    Tamasha la "Wasanii wa Mabadiliko"

    Hiyo ndo akili...strategic campaign! Lowasa na campaign team yake wako vizuri
  3. J

    Siri ya Lowassa yavuja

    Sumaye alikuwa hajajiunga ukawa wakati huo, kwa hiyo ni uongo kusema Lowassa alikuwa na mpango wa kumteua Sumaye kuwa waziri mkuu. Hata hivyo mbona awamu ya 3 waziri mkuu na waziri wa fedha walitokea ukanda huo?
  4. J

    Lowassa kutumia mbinu zilizompa ushindi Uhuru Kenyatta

    Mimi siyo mshabiki wa upande wowote, ila mpaka sasa sijapata sababu ya kutompgia Lowassa kura yangu. Kila anayesema Lowassa fisadi hasemi ufisadi wake ni nini zaidi ya kusema RICHMOND. Kuhusu Richmond inaeleweka alitubebea msalaba lakini wasiyo na akili wakamuita fisadi
Back
Top Bottom