Recent content by Jacobus

 1. Jacobus

  TBC ndani ya Startimes vipi?

  Wakuu, tumehabarishwa kuwa chombo chetu cha habari cha Taifa yaani TBC kimepewa kibali cha kuonesha michuano ya FIFA ya kombe la dunia huko Qartar. Sawa, jana kweli walianza ila nina mambo mawili hapa. 1. Nilitumia king'amuzi cha Azam ni uonekano ulikuwa mzuri. Nikahamia king'amuzi cha...
 2. Jacobus

  Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

  Nakumbuka FIFA huruhusu TV za taifa kuonesha mashindano haya.
 3. Jacobus

  Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

  Mkuu, usihangsike na hao kasuku wa EPL. TBC1 ndo tulizo la moyo wako kombe la dunia la FIFA, tena bure kabisa.
 4. Jacobus

  Bodi ya Ligi ya TFF ipeni heshima KMC uwanja wa nyumbani

  Lengo la kuwa na mechi ya nyumbani na ugenini ni kuweka mizania sawa kwa timu mbili husika. KMC wanatumia uwanja wa Uhuru hapo Dar kama uwanja wake wa nyumba. Ombi langu kwa Bodi ya Ligi ni kuwapa heshima KMC kucheza kwenye uwanja huo kama wenyeji wakutanapo na timu za Simba na Yanga...
 5. Jacobus

  NASA yafanikiwa kuikoa Dunia kuangikiwa na Kimondo(Asteroids)

  Nyie ndo bendera fuata upepo. Hivi kesho wakikuambia wanataka kuihamisha dunia au mwezi kutoka katika mzunguko wake utawaamini?
 6. Jacobus

  NASA yafanikiwa kuikoa Dunia kuangikiwa na Kimondo(Asteroids)

  Hawa wasanii kweli. Dunia inauwezo mkubwa mno wa kujilinda yenyewe. Hako kadubwasha hakawezi kulisukuma jiwe kubwa lenye kujiendesha lenyewe. Hii ni kiki tu wanataka.
 7. Jacobus

  Kenya: Mlinzi wa mke wa Raila Odinga auawa kwa kupigwa risasi

  Naposikia baadhi ya watu wakitaka tuige wayafanyayo Wakenya, huwasikitikia mno.
 8. Jacobus

  Punda huyu anahitaji msaada zaidi

  Wakuu, hapa Tabora mjini eneo la Ipuli pana huyu punda kaonekana siku ya jumapili akiwa na jeraha mguuni. Jumatatu akiwa hoi nikaamua kumpa maji na kufanya jitihada za mmiliki aje kumchukua. Ajabu mwenye punda huyu hupita tu kwa pikipiki na kumtazama. Jumatano wakaja vijana watatu wakimletea...
 9. Jacobus

  Mgunda, wanaokusifia leo ndiyo hao hao watakaokuzomea kesho

  Mkuu, sasa hivi kelele za kumtaka kocha Matola hazisikiki.
 10. Jacobus

  Mgunda, wanaokusifia leo ndiyo hao hao watakaokuzomea kesho

  Ndo maana huwa anaweka mikono mfukoni mwa suruali ati!?
 11. Jacobus

  Kwanini mchambuzi Oscar Oscar alifukuzwa kipindi cha michezo E FM?

  Mkuu, huyo namba 3 ndio sahihi haswa na mwengine ni Amri Kiemba.
 12. Jacobus

  Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

  Hivi ni 'Law School of Tanganyika' au 'Law School of Tanzania'?. Nadhani tuanzie hapo.
 13. Jacobus

  Ni suala la muda tu Waziri Mchengerwa atafanya tufungiwe na FIFA

  Tulikuwa na timu nne kutuwakilisha mashindano ya CAF. Hapakuwa na kauli yoyote iliyotoka wakati Geita Gold FC ikitolewa na hakuna kinachofanyika kwa Azam FC baada ya kufungwa mechi ya mwanzo. Nguvu inayotumika ya ajabu ni kwa Yanga kwa kutoka sare tu katika mechi ya mwanzo. Nikisema hii ni...
 14. Jacobus

  Mgunda, wanaokusifia leo ndiyo hao hao watakaokuzomea kesho

  Juma Mgunda, sasa hivi ni kocha wa klabu ya Simba. Tokea ajiunge na klabu hii pana watu wanajitahidi kumpamba kuwa ni kocha mzawa mzuri mno, wakitaka kututoa katika kumbukumbu kuwa katokea timu ya Coastal Union iliyopo Ligi Kuu kama timu ya Simba. Mimi, naamini kuwa kufanya vizuri kwa timu ya...
Top Bottom