Recent content by JACOB ZACHARIA

  1. J

    JamiiForums Swali

    Utaaminije kuwa mtu ni rafiki yako wa dhati. utatumia mbinu zipi?, pia ni dalili zipi zinazo dhihirisha upendo wa dhati?. naomba michango yenu ya mawazo.
  2. J

    JamiiForums Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Mimi naona serikali tatu ingefaa kwa sababu Tanganyika hatujui inaongozwa na nani, zanzibar wana rais wao na serikali yao, kwa nini Tanganyika isiwe na utawala wake? afu iwepo serikal inayounganisha Tanganyika na Zanzibar. kama vp muungano haina haja
Back
Top Bottom