Karibuni Msome kitabu changu kipya:
FURSA, UTASHI NA UHURU WA FEDHA
Tambua Siri ya Tabia kuelekea Uhuru wa Kifedha
Je, unataka kujua siri ya kufikia uhuru wa kifedha? Kitabu hiki kinakupa mwongozo wa kina na wa vitendo kuhusu jinsi ya kuchangamkia fursa zilizoko mbele yako na kuimarisha...
Mwaka 2014, Benki ya Maendeleo ya Afrika iliandaa kongamano lililofanyika nchini Rwanda ambalo nilipata abra ya kusikiliza. Kongamano hilo, lilikuwa linafanya kumbukizi ya kila mwaka ya Benki ya Maendeleo ya Afrika iliyoanzishwa Julai Mosi, 1966; liliongozwa na tafakuri isemayo ‘Uongozi na...
Nikiwa seminari tuliwahi kufundishwa kilatini ijapokuwa ntakuwa nimesahau maneno mengi bado nakumbuka msemo wa muhimu sana wa kilatini unaosema kama wengine wameweza kwanini mimi? Kwa kilatini Si isti et istae cur non ego? Msemo huu utatuongoza kwenye makala yetu ya leo tukitafakari hatua...
Sakata la chanjo ya UVIKO-19 linazidi kupata sura mpya kila kukicha huku uamuzi wa kuchanjwa ama kutochanjwa ukizidi kuwa na sintofahamu nyingi. Nia ya Makala hii leo sio kushawishi watu kuchanjwa ama la bali kujenga hoja zitakazosaidia kufanya uchaguzi sahihi wa kuchanjwa ama kutochanjwa...
Tamaduni zetu zinachangia pakubwa sana kwenye hili. Hapa utapata ufafanuzi wa kuwa mgawanyo wa kazi unahitaji wanaume wavuvi na sio wanawake. Je, kuna hoja katika utetezi huu? Sidhani ila tunaweza jadili zaidi kwa jamii zinazotoka kwenye mwambao wa bahari ya hindi nini imani yao kwenye mgawanyo...
Mwenendo wa mwanadamu katika maisha huchangiwa kwa asilima mia moja na mchango wa tamaduni, kwani hakuna mwanadamu asiyetokana na utamaduni fulani. Utamaduni unatofautina kutoka kwenye bara moja na lingine, nchi moja na nyingine na sehemu moja na nyingine katika nchi husika. Hivyo tamaduni...
Kila mwanadamu ana nafsi (self) ya kipekee ambayo inahitaji mazingira chanya na msukumo wa ndani (internal will) ili kukuwa. Wengi wetu hatuthamini msukumo wa ndani kwenye ukuaji wa nafsi zetu bali tunathamini sana mazingira yetu kama kichocheo namba moja cha ukuwaji wa nafsi zetu. Kwa mtizamo...
AJIRA kwa vijana inaendelea kuwa tatizo kubwa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kila kukicha idadi ya vijana inaendelea kukua na mahitaji ya namna bora ya kupata ajira yanazidi kupungua.
Ni imani yangu ya kuwa hakuna suluhisho la moja kwa moja la kutatua tatizo la ajira kwa vijana Tanzania...
Katika hotuba mbalimbali za Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha nia yake ya dhati kukuza uchumi wa taifa letu pamoja na kustawisha ustawi wa mtu na maendeleo yake. Haya ameyasisitiza katika hotuba zake wakati wa siku ya wafanyakazi na alipokutana na wazee wa Dar es Salaam. Katika hafla hizi...
Kila mara tumekuwa tukishuhudia na kusikia matukio ya ukatili na unyanyasaji wa watoto yakiongezeka na kuripotiwa nchini Tanzania. Kutokana na ongezeko hili, jitihada mbalimbali zimechekuliwa na serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kupunguza ukatili na unyanyasaji wa watoto.
Kwa...
Hivi sasa watanzania tulio wengi majina yetu hayana asili yoyote ya Tanzania, sana sana tumebakisha majina ya mwisho kuwa ya asili na yale ya mwanzo kuwa ya Kizungu ama Kiarabu. Mfano mzuri ni mimi hebu tizama jina langu hapo juu.
Natambua fika kuwa majina haya tulio wengi tumepewa na wazazi...
Ajira kwa vijana Tanzania imekuwa changamoto endelevu inayohitaji mbinu mbalimbali za utatuaji. Jitihada kutoka kwa serikali na sekta binafsi zinahitajika ili kuweza kutatua changamoto hii ya arija kwa vijana. Mara nyingi wataalamu mbalimbali wametoa angalizo juu ya ongezoko la vijana wasio na...
Thomas Edison ni mgunduzi na muasisi wa kanuni za msingi za umeme aliyeishi kati ya mwaka 1847-1931. Wakati Thomas akiwa shule ya msingi walimu wake walisema ni mjinga na hana uwezo wa kujifunza hivyo ikampasa Thomas kuacha shule na kurudi nyumbani. Aliporudi nyumbani, Thomas alianza kufundishwa...
Ndugu Azizi,
Nashukuru kwa mrejesho wako, ni kweli kuwa wanawake na wanaume hawawezi kuwa sawa kwa sababu ya kimaumbile ila kwa mantiki ya mahusiano (Social relations) kati kati ya mwanamke na mwanaume wako sawa kwani tofauti za kimaumbile hazifanyi mwanamke kushindwa kufanya kile mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.