Recent content by Jackson j

  1. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Daaah! Umetolea mfano unaonigusa kabsa. Nimesom airwing one to six na nimekosa
  2. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtu aliesoma sayansi advanced kusomea Sheria chuoni

    Kwa miaka hii never
  3. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtu aliesoma sayansi advanced kusomea Sheria chuoni

    Hauwezi kuwa adimited katika Law school kama hauna LL.B yan hata uwe na PHD ya law hauwezi kusoma law school kama hauna LL.B. so asijisumbue kusoma hiyo PG kama anatak kuwa mwanasheria/wakili. Ila tu anawez kuja kusoma LL.B kikubwa aangalie adimission requirement yakila chuo maan kuna baadhi ya...
  4. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na vipara kichwani (bald round spots)

    Jamani, mimi nina tatizo la kutokuota nywele kichwani katika baadhi ya maeneo na nywele zinakuwa zikichomoka au zinaota zikiwa dhaifu sana hadi sasa ni mwaka mmoja tangu tatizo limeanza, katika kufatilia hata Google nimepata kwamba ni ugonjwa unaitwa Alopecia Aerata. Sasa hapa nauliza kwa...
  5. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Je, TCU wameshafunga Transfer window?

    Sas unakataa nini wakati watu tunao chuon na wameshasajiliwa ,sas mfano ni huyu jamaa yangu mmoja katoka udsm alikuwa kashamaliza na usajiri kabisa full baadae akapat transfer na alikohamia pia wamempa usajiri full na namba ya usajiri kapewa anawiki tatu sasa hv tokea kaanza kusoma.
  6. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Je, TCU wameshafunga Transfer window?

    Mimi jamaa yangu kakubaliwa na chuo na namba ya usajiri akapewa na akapew na control no yakulipia labda hcho chuo ni chaprivate maana ndo waoga waoga sana hao ila huyo jamaa wako ajue tu namba ya usajiri washamuwekea ila tu hawataki kumpa nao wanasubir uhakika zaidi hiyo isitoshe ni kutokan na...
  7. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Je, TCU wameshafunga Transfer window?

    Watu wametransfer na namba ya usajiri wameshapewa tokea mda mrefu tu na wameshaanza kusoma .sas kama syatem inakataa hizo namba za usajiri zimetokaje. Na sio mmoj niliyemuna mimi wapo weng sana tu waliotransfer na kufanyiwa usajiri yan ukishafanyiw usajiri chuoni kinachobak ni TCU tu kukuweka...
  8. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Je, TCU wameshafunga Transfer window?

    Sisi chuon kwetu watu kibao wamehamia tena majibu walishapewa tokea mda mrefu tu na washasajiliwa ,kinachosubiliw kutok TCU ni kwamba TCU wafute usajiri wako kutoka katika chuo cha mwanzo na ubaki kwenye chuo kimoja tu ambacho ndio umehamia .sasa hvyo vyuo vinavyosema vinasubir majibu kutok TCU...
  9. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Je, TCU wameshafunga Transfer window?

    Nilielew but watu waliotransfer walishajibiw direct na chuo
  10. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Je, TCU wameshafunga Transfer window?

    Mbona majibu yakuhama yalikuwa yanatolewa na chuo unachohamia mapema tu.
  11. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Ni benki gani huwa zinasaidia wanafunzi wa Vyuo Vikuu (bachelor degree students) wanaokosa mikopo kutoka HESLB

    CRDB wanatoa ila wanatoa tu kwa ambao wamepata mkopo alafu asilimia chache, hivyo wao wanaongezea asilimia zilizobaki lakini kama hujapata kabisa mkopo wao hawatoi mkopo.
  12. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kuna hii kozi?

    UDSM ipo wala haufunzwi mafunzo ya kijeshi huko unajifunza tu masuala ya diplomasia na vita hasa katika historia ,yani hiyo ni kozi yakawahida tu kama zingne na adimission requarement zake uwe na two princpal pass hasa za masomo ya arts.
  13. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Je, TCU wameshafunga Transfer window?

    Hakuna ni kuandika barua tu ukiambatanish na nyaraka zako kama copy za vyeti nakusubiri majibu
  14. Jackson j

    JamiiForums Tanzania Je, TCU wameshafunga Transfer window?

    Isee! Kama unataka kuhama nena kwenye chuo unachokitaka mapema sana nenda na copy za vyeti vyako pamoja na admission letter ya chuo unachotoka ukifika pale utaandika barua, vyuo vingi vishaanza kupokea maombi ya inter university transfer
Back
Top Bottom