Recent content by Jackson Barnabas

  1. J

    JamiiForums Tanzania Taaluma ya UDOM manufaa yake ni madogo sana kwa jamii

    umeandika kisomi sana pamoja sana atuache na udom yetu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada;jinsi ya kuondoa hofu na kujiamini

    Jaribu kuongea na kila mwalimu wa kila somo unalosoma umweleze matatizo yako na watakushauri vizuri sana na utafanikiwa!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi walia na mikopo yao

    Tena kibaya zaidi chuo hakina hata rikizo fupi kwa ajiri ya skukuu!kwahiyo wanafunzi wapo tu chuoni nahawana hela!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mtahiniwa akipata "f" hesabu necta anapigwa faini.

    Mimi hainiingii akilini kuwa mwanafunzi mwenye uwezo wa kupata A katika masomo yake yote hayo aliyoyafanyia mitihani isipokuwa Mathematics tu ndio apate F!na sidhani kama hayo kwel nimatokeo halisi ya mtu fulani labda angesema tu kuwa ni mfano hapo tungemuelewa!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Looking for a Mathematics Teacher?

    Mimi natafuta mwalimu wakunifundisha english course mi nipo dodoma!
  6. J

    JamiiForums Tanzania natafuta english course dodoma mjini.

    msaada jamani.
  7. J

    JamiiForums Tanzania natafuta english course dodoma mjini.

    Mwenye uelewa na hiyo/hizo sehemu naomba anisaidie tafadhali!
  8. J

    JamiiForums Tanzania natafuta english course dodoma mjini.

    Naomba mnisaidie kunielekeza ni sehemu gan hapa dodoma wanafundisha vizuri english course kwan kuna mdogo wangu anatokea mkoan anataka aje kusoma!
  9. J

    JamiiForums Tanzania msaada...

    Naombeni msaada wenu tafadhali!
  10. J

    JamiiForums Tanzania msaada...

    Naomba msaada wenu wadau wa lugha mimi naishi dodoma nahitaji kujifunza lugha ya kingereza niijue vizuri kwa kuiandika na kuiongea!je ninani/mahali gani kwahapa dodoma naweza kupata msaada kwa hilo?
  11. J

    JamiiForums Tanzania UDOM UDOM UDOM boom lini? 2mechoka

    Mi niko Coed 1st year kitu tayari kimeingia tangu ijumaa!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Unataka kujua chaguo lako wizara ya afya

    BABUNE DAUD Na REVOCATUS MAYOMBYA.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Unataka kujua chaguo lako wizara ya afya

    Naomba mniangalizie REVOCATUS MAYOMBYA
  14. J

    JamiiForums Tanzania udom inanitesa jamani.

    Naomba msaada wenu wadau wote pamoja na wana UDOSO juu ya hili tatizo langu!
  15. J

    JamiiForums Tanzania udom inanitesa jamani.

    Nanilipofika chuoni kwenye mbao za matangazo yalikuwa yamebandikwa majina ya waliopata mkopo na tulitakiwa kuangalia sirio namba pamoja na page namba na jina langu lipo na nimepewa asilimia mia.
Back
Top Bottom