Recent content by Jackline XX

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mkoa wa Dodoma walaani maandamano ya CHADEMA

    Wafanyabiashara wa mkoa wa Dodoma, wamelaani vikali hatua ya CHADEMA kufanya maandamano ambayo yameathiri shughuli zao za biashara kutokana na kufungwa kwa maduka na maeneo yao ya biashara. Wakizungumza kwa jazba na hisia wafanyabiashara waliomba viongozi wa CHADEMA kuwa na huruma na wananchi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Dodoma walaani maandamano ya Chadema

    Wafanyabiashara wa mkoa wa Dodoma, wamelaani vikali hatua ya Chadema kufanya maandamano ambayo yameathiri shughuli zao za biashara kutokana na kufungwa kwa maduka na maeneo yao ya biashara. Wakizungumza kwa jazba na hisia wafanyabiashara waliomba viongozi wa Chadema kuwa na huruma na wananchi wa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge John Shibuda awashukia UKAWA

    Shibuda ni Msemakweli kweli wakati wote. Haogopi mtu wala hamuofii mtu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge John Shibuda awashukia UKAWA

    Hongera kwako shibuda kwa kuwapa ukweli
  5. J

    JamiiForums Tanzania Umoja wa vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani kauli za mwenyekiti CHADEMA

    Sisi ni vijana wasomi wazalendo kutoka vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM); Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU); Dar es salaam University College of Education (DUCE); USTAWI WA JAMII; Chuo Kikuu cha Mtakatifu John (St. John); Chuo cha Usimamizi wa Fedha...
  6. J

    JamiiForums Tanzania John Cheyo: UKAWA kuweni wakweli

    Dodoma. Mwenyekiti wa Taasisi ya Demokrasia Tanzania (TCD), John Cheyo amewavaa viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), akieleza kuwa walichokubaliana katika kikao chao na Rais Jakaya Kikwete ni kwamba Bunge liahirishwe Oktoba 4 na si kama wanavyodai wakiwa nje. Akizungumza bungeni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wakemea upotoshaji unaofanywa na ukawa

    Hivi ni Mara ngapi tumewasikia viongoziwa dini kutoka madhehebu fulani Wikitoa maoni Yao ambayo yalikua yanaunga mkono Au kutofautiana na ukawa ni dhambi?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wakemea upotoshaji unaofanywa na ukawa

    Hongera viongozi wa dini kwa kutimiza wajibu wenu.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wakemea upotoshaji unaofanywa na ukawa

    TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya...
Back
Top Bottom