Recent content by JACKBIZZO

  1. JACKBIZZO

    Nauza mbao na kubadilishana

    habari za leo wadau nna mbao naziuza ila pia nabadilishana na gari ndogo ya mirion tatu na mbao. karibuni sana kwa mbao imala na na bei nzuri ya maelewano, bei itategemea kias na saizi ya vipimo vya mbao unazohitaji, mbao nilizo nazo ni za miti ya paina........wasiliana kupitia +255768181757
  2. JACKBIZZO

    Nauza mbao za paina

    Karibuni kwa mbao nzuri na bei poa kabisa, pia tuna safirisha ndani na nje ya nchi kwa bei nafuu sana. Wasiliana nasi kupitia; · +255768181757 · Or · +255754961148 Napatikana IRINGA, karibuni sana bei inategemea na oda ya mteja na vipimo.
  3. JACKBIZZO

    Nauza mbao nzuri kwa bei nafuu sana

    Karibuni kwa mbao nzuri na bei poa kabisa, pia tuna safirisha ndani na nnje ya nnchi kwa bei nafuu saana. Wasiliana nasi kupitia; · +255768181757 · Or · +255754961148 mbao zitokanazo na miti ya paina tunapatikana IRINGA, bei inategemea na vipimo anavyo hitaji mteja...
  4. JACKBIZZO

    Nauza mbao

    Karibuni kwa mbao nzuri na bei poa kabisa, pia tuna safirisha ndani na nnje ya nnchi kwa bei nafuu saana. Wasiliana nasi kupitia; · +255768181757 · Or · +255754961148 pia katika E; Mail, luwumba2013@gmail.com mbao ni za miti ya paina napatikana iringa, pia...
  5. JACKBIZZO

    Natafta Vifaranga Wa kuku Wa mayai Wa kisasa

    Habari wanajamvi nahitaji Vifaranga Wa kuku Wa mayai wakisasa napatkana IRINGA Kwa mawasiliano zaidi +255768181757
  6. JACKBIZZO

    Natafta Vifaranga Wa kuku Wa mayai

    Habari wanajamvi nahitaji Vifaranga Wa kuku Wa mayai wakisasa, Kwa mawasiliano zaidi +255768181757
  7. JACKBIZZO

    Natafuta gari tubadilishane na mbao

    Habari za Leo wadau, Natafuta Gari tubadilishane na Mbao za paini za kipimo atachohitaji, yeyote aliye na Gari ataeridhia hili, niko Mufindi mkoani Iringa. Nahitaji Gari kati ya Noah, Carina, au Caldina. Thamani ya Gari ndiyo itatoa kiasi cha Mbao. Kwa mawasiliano karibuni +255768181757...
  8. JACKBIZZO

    Nauza Mbao fupi Na Banzi bei nafuu

    Habari wadau, nauza mabanzi mazuri Na bei ni maelewano, Niko mafinga iringa, Pia nauza Mbao fupi za urefu wa kuanzia futi 8 hadi futi 10. Bei maelewano. Zao la paini Miti ya serikari. Kwa mawasiliano +255768181757 kupiga Na WhatsApp. Karibuni sana
  9. JACKBIZZO

    Nauza kibali cha kupasulia Mbao

    Habari wadau, nauza KIBALI chakupasulia Mbao kina mgao wa qubic metre 200. Niko mafinga mkoan iringa. Kwa mawasiliano zaidi piga: +255768181757 E-mail; luwumba2013@gmail.com Karibuni sana....
  10. JACKBIZZO

    Msaada wadau natafta mashine

    Habari wanajamvi nataka kununua mashine ya mbao inaitwa ( lumber pro 48",) imetengenezwa na cleereman industries. Lakini tangu mwezi jana nimetafta njia yeyote imeshindikana na e mail hazijawahi kujibiwa. Kwa yeyote anaweza nisaidia tafadhari naomba tusaidiane katika hili. Mashine kama hiyo...
  11. JACKBIZZO

    Msaada wadau kuhusu mashine ya Lumber Pro

    habari wana JF... nimeona mashine inaitwa Lumber pro, ktk you tube, ila nimejarib kuwatumia mail haijajibiwa kwa muda sasa. labda kwa wanaojua zaidi ni katika sait gani naweza kufanya process za kununua hii mashine..ni mashine ya kupasua mbao... msaada wenu tafadjari...
  12. JACKBIZZO

    Natafuta engine

    Habari wanaJF, natafta Engine ya GARI Toyota suef kama ilivo changanuliwa hapa. * Vehicle Details. - make- Toyota - model- 4RUNNER - model number - LN135 - year of manufacture-1992 - Engine No - 3L3104169 - Engine capacity- 2779 - Fuel - Diesel Nahitaji mpya. Ila pia kama...
  13. JACKBIZZO

    Shamba la Miti linauzwa

    habari wadau ....nauza shamba lenye miti aina ya paini iliyo na miaka mitatu, shamba lina hekari moja na nusu. Miti imekubali vizuri liko Iringa.....bei ni Tsh/= milioni moja na laki tatu tu..... Kwa mawasiliano +255768181757 karibuni sana wadau.....
  14. JACKBIZZO

    Shamba la Miti linauzwa

    habari wadau ....nauza shamba lenye miti aina ya paini iliyo na miaka mitatu, shamba lina hekari moja na nusu. Miti imekubali vizuri liko Iringa.....bei ni Tsh/= milioni moja na laki tatu tu..... Kwa mawasiliano +255768181757 karibuni sana wadau.....
  15. JACKBIZZO

    Shamba la Miti linauzwa

    Habari wadau nauza shamba la hekari moja na nusu lililo na miti 1000 aina ya pain. Miti ina miaka mitatu shamba liko iringa.. kwa mawasiliano ; 0768181757 Karibuni sana.......
Back
Top Bottom