Recent content by Jackal

 1. Jackal

  Nzige wafika Sudani Kusini

  Ebola sio hatari kama Corona!
 2. Jackal

  Walinzi wa Kenya na Rwanda watifuana kwenye mazishi ya Rais Moi

  Thubutu Alipokuja Obama ikulu ilipekuliwa na wamarekani nje ndani.Toka airport walinzi wa marekani waliongoza kila kitu wa kwetu walikaa pembeni!
 3. Jackal

  Tuiunge Mkono JamiiForums Katika Tanzania Digital Awards

  Tayari nimeshatupia vote yangu!
 4. Jackal

  CRDB mlichonifanyia leo sitawasamehe

  Hii bank toka kimei aachie ngazi imekuwa ya hovyo kweli!
 5. Jackal

  China kuzuia matumizi ya fedha za noti ikiwa ni njia ya kuzuia ueneaji wa Virusi hatari vya Ccorona

  Hili gonjwa limewashika wachina pabaya.Watubu tu kwa Mwenyezi Mungu madhambi wanayofanya ili awarehemu na kuwaponya!
 6. Jackal

  Tuiandae CCM ikitoka Madarakani iweje kama chama ili isife

  Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti sana mchana wote huu😂😂😂
 7. Jackal

  Kisanduku cheusi cha ndege ya Chama iliyochenjiwa gia angani 2015 chapatikana rasmi

  Kelele za nini si mruhusu siasa zenye ushindani tuone kama kweli ndege ya ufipa imepata ajali ama la?Dhana ya mabadiliko ni ideology iliyoko kwa watanzania na sio kwa hao watu wachache uliowataja.Ndani na nje ya CCM na CDM wote wanahitaji mabadiliko!
 8. Jackal

  Ulimwengu wa Game of Thrones

  Mkuu Military Genius umetafsiri na kuSummarize vizuri!
 9. Jackal

  Makosa ya Tanzania yameinufaisha Msumbiji

  Pascal Mayalla, Pasco Kwa uandishi huu hakika wewe ni mzalendo nambari wani!
 10. Jackal

  Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

  Mimi nipo mkoa nalima mkuu Shunie
 11. Jackal

  Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

  Pamoja na Katunzi
 12. Jackal

  Amini nawaambia, hakuna wa kumbishia Marekani kwa lolote. Akisema, dunia imesema; akiagiza ni kutekeleza tu

  Kwa hali ya sasa CCM ndio Meko na Meko ndio CCM.Kusema CCM imuondoe Meko ni sawa na kusema Meko ajiuzulu kwa hiari yake bila shinikizo lolote.Swali,"Je atakubali?"
 13. Jackal

  Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

  Msafiri Diof aliLost kitambo kabla ya hata mziki wa dansi baada ya kuanza kutumia ngada.wawezeshaji wa mziki wa dansi kina papa Msofe,Said Ntimizi,Abdul Karim,Fikiri Madinda,Juma Kapuya.nk baada ya kupotea na mziki ukapotea!
 14. Jackal

  Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

  Ungeona leo kwenye siku ya sheria Jiwe alivyokuwa anawabembeleza mabeberu wazisaidie mahakama zetu.Usingeandika huu upuuzi!
Top