Recent content by Jack02

  1. J

    JamiiForums Tanzania *VING'AMUZI*

    DSTV leo wamezifungia channels za Tanzania except TBC. Sasa sijui inakuaje inamana kama nataka kuangalia taarifa ya habari inakuaje.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Duka la vifaa vya simu

    Asante
  3. J

    JamiiForums Tanzania Duka la vifaa vya simu

    Nimejaribu kuwafata na kuwadadisi ila watanzania niwatu tunaopenda sifa unakuta duka linamtaji mdogotu ila anasema nafangashia Dubai
  4. J

    JamiiForums Tanzania Duka la vifaa vya simu

    Ungekua specific ingesaidia sana mana DSM nikubwa
  5. J

    JamiiForums Tanzania Duka la vifaa vya simu

    Asante
  6. J

    JamiiForums Tanzania Duka la vifaa vya simu

    Mimi ni kijana nataka Kufungua duka la vifaa vya simu niko Iringa ila sijui wapi nitafungashia mzigo.
Back
Top Bottom