Recent content by jabulani

 1. J

  Tuwahurumie Graduates, Hakuna Mwanasiasa wa kuwatetea Vijana waliomaliza Chuo

  Kuwa na maaskari wote graduates itakuwa mzigo mkubwa sana kwa serikali kifedha, watadai kulipwa kwa ngazi ya graduate. Kulinda na kukamata watu kunahitaji akili kidogo tu..
 2. J

  Uteuzi: Rais Samia ateua wajumbe wa Tume ya Uchaguzi

  Tume ya kuibeba ccm.
 3. J

  Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

  Shida ni kwamba wanafundishwa kukamata hawafundishwi PGO
 4. J

  Ni kweli Rais Samia amebadilika au tunaona maluelue?

  Keshanogewa anataka agombee 2025 na 2030 na kutangazwa mshindi na tume iliyopo
 5. J

  Mikutano ya Vyama vya Siasa imezuiliwa kwa Sheria ipi ya Katiba yetu?

  Haruhusiwi kutoa amri inayovunja katiba.
 6. J

  PGO mwiba kwa maafisa wa Jeshi la Polisi, wanafanya kazi kwa taratibu zipi?

  Wanataka tutii shuruti bila sheria.
 7. J

  Vibanda vya wamachinga juu ya mitaro barabarani ndio chanzo cha harufu mbaya Dar es Salaam

  Ikitokea wamachinga wakaondolewa barabarani halafu Lissu akatua nchini ccm watafurushwa ikulu kwa siku moja.
 8. J

  Haijakaa sawa kulipia huduma ya choo katika sehemu za huduma za jamii. Litazamwe upya

  Stendi za mabasi tunalipia kuingia Haina haja kulipishwa kwenda chooni
 9. J

  Polepole ni wazi anaungana na Lissu juu ya uwezekano wa kuwepo watu wanaongooza Serikali kwa mlango wa nyuma

  Kwa Sasa hatuna executive president tuna ceremonial president
 10. J

  Tumfahamu Mamady Doumbouya, kiongozi wa mapinduzi nchini Guinea

  Ana uraia pacha Guinea na Ufaransa. Majajusi wa ufaransa walimtonya kuwa Konde ana mpango wa kumkamata. Wakampa mpango wa kumpindua Konde. Jumapili Doumbouya alimtaarifu rais kuwa kuna vikosi nje kidogo ya jiji vinataka kuasi. Akamuomba rais aondoke na makomandoo kadhaa kwenda kutuliza uasi...
 11. J

  Yanayojiri duniani baada ya Rais Alpha Conde wa Guinea kupinduliwa na jeshi

  Alipunguza mishahara ya wanajeshi akajiongezea mshahara yeye na mawaziri wake.
Top Bottom