Recent content by JabraKitaa

  1. J

    Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

    NCHI HII NGUMU SANA KUONGOZA. UKISIKILIZA SANA WANANCHI SANA KUONGOZA INAKUWA NGUMU FANYA UNALOONA KUWA ZURI KWAKO KUONGOZA RAIS. MAANA UKITEUA TU WATU WANAANGALIA DINI GANI AWAMU YA TANO WALIKUWA WANAANGALIA MSUKUMA AU KANDA YA ZIWA SHIDA KWELI. TUANGALIA...
  2. J

    Ni wakati wa Rais Samia kufanya ziara mikoani

    Ni wakati sasa kwa Rais kufanya ziara mikoani kujionea wananchi wanataka nini kipindi hiki maana asilimia 60 ya Watanzania wanapitia kipindi kigumu kutokana kila mtu sasa hivi amejiachia kwenye nafasi aliyowepa watanzania sio wakupewa uhuru sana tena kwenye uongozi lazima uwe na roho ya...
  3. J

    Nani anaongoza nchi?

    Rais ni Nani nchini TANZANIA ni swali zuri sana. maana awamu ya tano Rais alikuwa Magufuli akisema unajua kasema sasa hivi sioni hii hali
  4. J

    Hivi ni Refined or Crude Oil?

    Sio mashaka hapa namanisha mwisho wa siku mpimaji wa TRA anafanya ulinganishi na mpimaji wa TBS sababu watu wataaluma moja wanaongea lugha moja
  5. J

    Hivi ni Refined or Crude Oil?

    Tatizo protocol tunazivunja kuhofia kura
  6. J

    Hivi ni Refined or Crude Oil?

    Mimi naona hizi taaluma zinaingiliwa chombo kama TBS, Mkemia mkuu ni vyombo imara sana. Kama inafikia vinapingwa kwa kweli itakuwa kuna maslahi pembeni ya watu. Napenda kutoa ushauri wangu wa vyombo vinavyohusika zaidi ni wakati sasa TRA nao kuwa na wataalam wa vipimo ili mwisho wa siku...
Back
Top Bottom