Recent content by Jabirimakame

  1. Jabirimakame

    Jokate Mwegelo: Magufuli na kisa cha Mussa na Wana wa Israeli

    Nimejipa muda na kulisoma hili andiko, kwa kweli kimesheheni uhalisia wa mambo. Magufuli ni kiongozi anayeibadilisha Tanzania kwa kasi sana.
  2. Jabirimakame

    Hoja ya wabunge 5 wanaotokana na baraza la wawakilishi, je inazuia shughuli za bunge kuendelea?

    HOJA YA WABUNGE 5 WANAOTOKANA NA BARAZA LA WAWAKILISHI, JE INAZUIA SHUGHULI ZA BUNGE KUENDELEA? Na Jabiri Omari Makame, WADAU, kuna hoja imeibuliwa na inasambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wajumbe 5 wanaochaguliwa na baraza la wawakilishi kuingia kwenye Bunge la JMT. Hoja yao ya...
  3. Jabirimakame

    Zanzibar: Je inawezekanaje kura za rais wa zanzibar na wawakilishi ziwe batili na zile za rais wa jm

    ZANZIBAR: JE INAWEZEKANAJE KURA ZA RAIS WA ZANZIBAR NA WAWAKILISHI ZIWE BATILI NA ZILE ZA RAIS WA JMT NA WABUNGE ZIWE HALALI? Na Jabiri Omari Makame Katika uchaguzi wa Zanzibar, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura...
  4. Jabirimakame

  5. Jabirimakame

    Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    Na Jabiri Omari Makame Katika uchaguzi wa Zanzibar, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura ya Rais wa JMT na Mbunge. Kwenye kituo cha kupigia kura kuna meza 2. Moja ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) na nyingine...
  6. Jabirimakame

    Membe ni tajiri wa fikra, taaluma yake haina chembe ya shaka

    Nimeisoma makala ya Bwana Yericko Nyerere katika mtandao wa Jamii Forums akimzungumzia Bernard K. Membe. Bwana Yericko amenifanya nianze kuamini kwamba sifa ya kutopenda kujifunza ambayo wakati wote watanzania tunatunukiwa inastahili kwetu. Ukilisoma kwa makini hili andishi hupati shida...
  7. Jabirimakame

    Mafanikio na utata wa Membe kidiplomasia

    "MAFANIKIO NA UTATA WA MEMBE KIDIPLOMASIA Kitila Mkumbo KATIKA makala iliyopita nilianza kumjadili Benard Membe anayetajwa kuwa kati ya wagombea urais wenye nafasi kubwa ya kupitishwa kupeperusha bendera ya chama chake cha CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao. Katika makala haya ninajadili wasifu wa...
  8. Jabirimakame

    Mafanikio na utata wa Membe Kidiplomasia

    "MAFANIKIO NA UTATA WA MEMBE KIDIPLOMASIA Kitila Mkumbo KATIKA makala iliyopita nilianza kumjadili Benard Membe anayetajwa kuwa kati ya wagombea urais wenye nafasi kubwa ya kupitishwa kupeperusha bendera ya chama chake cha CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao. Katika makala haya ninajadili wasifu wa...
  9. Jabirimakame

    Kitila Mkumbo: Mafanikio na utata wa Membe kidiplomasia

    "MAFANIKIO NA UTATA WA MEMBE KIDIPLOMASIA Kitila Mkumbo KATIKA makala iliyopita nilianza kumjadili Benard Membe anayetajwa kuwa kati ya wagombea urais wenye nafasi kubwa ya kupitishwa kupeperusha bendera ya chama chake cha CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao. Katika makala haya ninajadili wasifu wa...
  10. Jabirimakame

    Membe: Kachero, Mwanadiplomasia mtata na rafiki wa wasomi, muendelezo sehemu ya 2

    "Bernard Kamilius Membe: Kachero aliyebobea, mwanadiplomasia mtata na rafiki wa wasomi
  11. Jabirimakame

    NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    KATIBA INAYOPENDEKEZWA NI BORA KULIKO YA SASA, HONGERA MH. RAISI, HONGERA WATANZANIA. Katika historia ya uandishi wa katiba mpya duniani hakuna nchi yeyote ambayo iliwahi kuandika katiba mpya ikakidhi matakwa ya wananchi wote na taifa kwa 100%. Katiba si msaafu wala si biblia kwamba haiwezi...
  12. Jabirimakame

  13. Jabirimakame

  14. Jabirimakame

    Mahakama kuu yabariki katiba inayopendekezwa na BMK

    Katika kesi hiyo Namba 28 ya mwaka 2014, Kubenea alikuwa akiiomba mahakama hiyo itoe tafsiri ya Mamlaka ya Bunge la Katiba kwa kuzingatia Kifungu cha 25 (1) na (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011.PICHA|MAKTABA Kwa ufupi Korti yaridhika liliendeshwa kwa kufuata mamlaka ya...
  15. Jabirimakame

    Mahakama kuu yabariki katiba inayopendekezwa na bmk

    MAHAKAMA KUU YABARIKI MWENENDO WA BUNGE LA KATIBA "Dar es Salaam.Mahakama Kuu imebariki mwenendo wa Bunge la Katiba kuwa liliendeshwa kulingana na mamlaka yake kisheria. Pia Mahakama hiyo imesema kuwa Bunge hilo halikuwa likifungwa na Rasimu ya Katiba iliyoandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya...
Back
Top Bottom