Recent content by jabir68

  1. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa umekuja CHADEMA kwa nia ya Urais au uliipenda CHADEMA kabla?

    Bwana Dupe umeona mbali sana, haingii akilini MTU ajiunge Leo na chama siku mbili baadae achukue fomu ya kuwania uraisi. Kuna nyuma ya pazia. OK, ngoja tuone!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, Dr. Slaa hakuwahi kuukamia Urais

    Ikulu haitafutwi kwa nguvu, maandiko yanasema: من طلب الامارة ذبح بغير سكين anaeutafuta uongozi kwa nguvu ni sawa na kuchinjwa bila kutumia kisu.
Back
Top Bottom