..
Kutokana na uliyoyasema naona yafuatayo:
1. Kama anadisa, kifiziolojia yuko sawa
2. Lakini, kisaikolojia atakuwa na tatizo. Kwa mfano, huenda ana tatizo la kiuchumi, saya mke ana kipato kuliko yeye, au mke ana masculine behaviour, au kitu kama hicho...
Hivyo, amtafute psychiatrist, atapona.