Sidhani kama vifo hivi vinamuuma, tunaoumia ni wapigwa jua tuliofikwa na misiba. Yeye anasherekea na kupongezana na familia yake wakati sisi wengine tuna majeraha na majonzi pia
Hivi Mkuu hakuna namna ya kufanya warogwe wote hawa na wafe kabisa
1. Afande mafwele
2. Rais
3. Mkuu wa usalama
4. Mkuu wa jeshi
5. Mtoto wa rais
6. Mstaafu
Nakupa mfano mdogo tu, na na-declare kwamba binafsi sikuwa mshabiki wa utawala wa Magufuli.
Huku ninakoishi kuna shida sana ya umeme, lakini wakati wa Magufuli hali ilianza kuwa nzuri na mtu ulikuwa unaweza mambo yako bila wasiwasi. Baada ya kifo chake hali imekuwa worse
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.